Nifanyeje ili niondoe bleach kwenye nywele?

Nifanyeje ili niondoe bleach kwenye nywele?

zaynab applw

Member
Joined
Nov 30, 2016
Posts
55
Reaction score
38
Habari zenu ndugu zangu,

Nina nywele za asili yaani natural hair sasa niliweka bleach yaani imefanya nywele kukatika na kuwa dhaifu.

Naombeni mnishauri nipake nini niondoe kabisa bleach.
 
Kata hizo zenye bleach.......si una zilizo anza kuota kwa chini.........?.......
 
Kata hizo zenye bleach.......si una zilizo anza kuota kwa chini.........?.......
Yah zipo zilizoota kias tu
Huwa na tream za bleach lakin nlikuwa natafuta solution niondoe kabisa
 
Habar zenu ndugu zangu Nina nywele za asili yaan Natural hair sasa niliweka bleach yaan imefanya nywele kukatika na kuwa dhaifu naomben mnishaur nipake nini niondoe kabisa bleach
Kifupi ukome kulazimisha uzuri
 
ni mwendo wa vipara!!!!
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Next time paka Hina instead bleach ya dukan..... hutajuta, nywele zitabadilika rangi, zitajaa, zitakua na mafuta pia mba hawata kusogelea.....

kata hizo uanze upya.
 
Back
Top Bottom