Nifanyeje ili niote ninafanya mapenzi?

Nifanyeje ili niote ninafanya mapenzi?

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2010
Posts
4,219
Reaction score
4,608
Mke alienda nyumbani tangu Dec, nipo tu home mwenyewe. Sasa nina nyege balaa, nagalagala tu kitandani, kununua malaya hela inaniuma.

Kuchepuka nina majukumu mengi sana siwezi kuhudumia mchepuko. Nifanyeje ili nipate ndoto ya kugegeda usingizini? Nigegede papuchi hadi itself Moshi?
 
Kama upo Dar buku 10 tuu unapata usingizi. Pia dukani kwa mangi anauza kipande cha sabuni kuanzia buku. Nauli kwenda mkoa wowote tz haizidi elfu 50, mfuate au mtumie nauli arudi . Chagua kimoja wapo
 
Mke alienda nyumbani tangu Dec, nipo tu home mwenyewe. Sasa nina nyege balaa, nagalagala tu kitandani, kununua malaya hela inaniuma.

Kuchepuka nina majukumu mengi sana siwezi kuhudumia mchepuko. Nifanyeje ili nipate ndoto ya kugegeda usingizini? Nigegede papuchi hadi itself Moshi?
Ukiota usingizini unafanya mapenzi utampata pepo mchafu aka shetani mahaba na matokeo yake akija mke wako mutakuwa muna gombana sana na mwisho wake utamuacha na atakuwa huyo shetani mahaba aka pepo mchafu mke wako na maisha yako yote yataharibika kabisa. Ninakushauri ufunge mpaka mke wako arudi funga kuanzia asubuhi mpaka ikifika usiku saa 1 unaweza kula. Funga kama bwana Yesu alivyokuwa akifunga utaepuka na hizo nyege zako zitakuondoka kabisa.
 
Fanya mapenzi wewe acha ufalas,unataka uote tu iliuchukue tuzo ya muaminifu bora wa ndoa hapa JF,haipo😂😂😂
 
Ukiota usingizini unafanya mapenzi utampata pepo mchafu aka shetani mahaba na matokeo yake akija mke wako mutakuwa muna gombana sana na mwisho wake utamuacha na atakuwa huyo shetani mahaba aka pepo mchafu mke wako na maisha yako yote yataharibika kabisa. Ninakushauri ufunge mpaka mke wako arudi funga kuanzia asubuhi mpaka ikifika usiku saa 1 unaweza kula. Funga kama bwana Yesu alivyokuwa akifunga utaepuka na hizo nyege zako zitakuondoka kabisa.
Kazi zangu za nguvu, bila chakula heavy ufanisi utayumba. Ila ushauri wako ni mzuri sana nimeupenda mno
 
Mke alienda nyumbani tangu Dec, nipo tu home mwenyewe. Sasa nina nyege balaa, nagalagala tu kitandani, kununua malaya hela inaniuma.

Kuchepuka nina majukumu mengi sana siwezi kuhudumia mchepuko. Nifanyeje ili nipate ndoto ya kugegeda usingizini? Nigegede papuchi hadi itself Moshi?
Unaweza kukuta wewe unajitunza huku, mwenzio huko kijijini kwao ex boyfriend anamuongezea njia
 
Back
Top Bottom