M MPadmire JF-Expert Member Joined Mar 7, 2006 Posts 3,957 Reaction score 3,245 Jan 2, 2009 #41 Mimi ni Mtanzania, Nina elimu ya CHuo kikuu masuala ya Tourism Marketing and Management. Nimefanya kazi miaka 5. Natafuta mwekezaji mwenye mtaji wa magari angalau mawili. Landcruiser or Landrover. Nina uwezo wa kufanya 'marketing' tutapata watalii wengi. jibu kwenye email; grejim1998@aol.com
Mimi ni Mtanzania, Nina elimu ya CHuo kikuu masuala ya Tourism Marketing and Management. Nimefanya kazi miaka 5. Natafuta mwekezaji mwenye mtaji wa magari angalau mawili. Landcruiser or Landrover. Nina uwezo wa kufanya 'marketing' tutapata watalii wengi. jibu kwenye email; grejim1998@aol.com
V Veltas bruno New Member Joined Nov 7, 2017 Posts 2 Reaction score 0 Nov 28, 2017 #42 Mi naona hiyo bank inashida fulan naona tu ujaribu bank nyingine. Ila shortly hongera Kwa plan yako.
Jane Msowoya JF-Expert Member Joined Aug 20, 2017 Posts 4,302 Reaction score 7,815 Nov 28, 2017 #43 Kamwe usikope Kwa kuanzisha biashara All the best to you
BlackPanther JF-Expert Member Joined Nov 25, 2015 Posts 9,185 Reaction score 8,715 Nov 28, 2017 #44 Duh 2008!!!!