Nifanyeje ili nipate mkopo wa kuanzisha biashara

Nifanyeje ili nipate mkopo wa kuanzisha biashara

Mimi ni Mtanzania,

Nina elimu ya CHuo kikuu masuala ya Tourism Marketing and Management.

Nimefanya kazi miaka 5.

Natafuta mwekezaji mwenye mtaji wa magari angalau mawili. Landcruiser or Landrover.

Nina uwezo wa kufanya 'marketing' tutapata watalii wengi.

jibu kwenye email; grejim1998@aol.com
 
Mi naona hiyo bank inashida fulan naona tu ujaribu bank nyingine. Ila shortly hongera Kwa plan yako.
 
Back
Top Bottom