Nifanyeje ili nipate ujasiri wa kupima HIV?


Mkuu huhitaji kuwa kuogopa mimi nimetoka leo hapa nasubiri wanitumie majibu kwa email yangu take it easy ni kama unavyopima maleria tu
 
Pole sana ndg yangu,lakini kupima kunafaida yake,ngoja nikupe mkasa ulionikumba mimi na ni story ya kweli,nilipata jimama fulani nikaanza kulitumia lakini kwa kondomu kwa kuwa mimi nilijua afya yangu iko njema,lakin kama ujuavyo kondomu haina ladha si nikaliambia tukapime,eee bwana lilionekana lina ngoma,si kuamini nilijua namimi ninao lakn nikajipa matumain vle nilitumi kondomu,nimekaa miezi 7 kwa mateso nikaamua kwenda kupima nashukuru mungu nilikuwa salama nasasa ninaaman moyoni,ila ilikuwa kazi kupima,ushauri wangu tumia kondomu kwa kila tendo ikitumika kwa usahihi inakulinda kwa zaidi ya 100%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…