king suleman
JF-Expert Member
- Jun 28, 2014
- 1,749
- 1,149
Punguza carbohydrates~ugali na wali hasa wakati wa chakula cha usiku~dinner,punguza chips mayai~ikiwezekana acha kabisa.Zingatia mazoezi anza kwa kutembea/tembea ya kimazoezi ambayo its almost unakimbia~kula matunda na mboga za majani kwa wingi~punguza red meat(ng'ombe na mbuzi),kiti moto weka pembeni~kunywa maji mengi kabla ya kula na uamkapo asubuhi,soda na majuice juice haya ya viwandani acha kabisa!matunda na mazoezi iwe sehemu ya maisha yako!karibu

Wana Jf Habari Za J2 Week End Ndo Hyo Ina End Ila Kwa Wengine Kesho Bd Ni Week End (off) Back To Topic Me Nna 22 Yrs Ila Ni Mmene Zaid Ya Kilo Sabini Ila Huwa Cpendi Nikiona Wenzangu Wenye 25 Yrs Wana 55 -6o Kg Sa Najihis Vibaya Nahitaji Kupunguza Kilo Zaidi Ya Kumi,
Hapa Bd Ni Student Je Nikipata Kaz Itakuwaje? So Kwa Mwenye Ushauli Jins Ya Kufanya Ili Nipunguze Kilo kwa kua zinazid kuongezeka NB. mazoez cfanyi saaana nahic ndo ntakua mnene zaid, pia baba angu ana kilo 108-115 ila mwanzo kabisa alikuaga kimbaumbau (kwa mujibu wa picha zake)
Kitimoto unamdangnya bana ,,ache she,akaange,arostPunguza carbohydrates~ugali na wali hasa wakati wa chakula cha usiku~dinner,punguza chips mayai~ikiwezekana acha kabisa.Zingatia mazoezi anza kwa kutembea/tembea ya kimazoezi ambayo its almost unakimbia~kula matunda na mboga za majani kwa wingi~punguza red meat(ng'ombe na mbuzi),kiti moto weka pembeni~kunywa maji mengi kabla ya kula na uamkapo asubuhi,soda na majuice juice haya ya viwandani acha kabisa!matunda na mazoezi iwe sehemu ya maisha yako!karibu
Mpwa loh. g riii ukombali mpwaHakikisha UNAJAMBA Zaidi Ya Mara 7 Kwa Siku.
Ukikosa hapa ushauri wa kukuwezesha kupunguwa uzito na kilo zako nitafute mimi Dawa kukupunguza uzito na kilo ninayo ukitaka bonyeza hapa.DAWA YA KUPUNGUZA UNENE MAFUTA NA TUMBOWana Jf Habari Za J2 Week End Ndo Hyo Ina End Ila Kwa Wengine Kesho Bd Ni Week End (off) Back To Topic Me Nna 22 Yrs Ila Ni Mmene Zaid Ya Kilo Sabini Ila Huwa Cpendi Nikiona Wenzangu Wenye 25 Yrs Wana 55 -6o Kg Sa Najihis Vibaya Nahitaji Kupunguza Kilo Zaidi Ya Kumi,
Hapa Bd Ni Student Je Nikipata Kaz Itakuwaje? So Kwa Mwenye Ushauli Jins Ya Kufanya Ili Nipunguze Kilo kwa kua zinazid kuongezeka NB. mazoez cfanyi saaana nahic ndo ntakua mnene zaid, pia baba angu ana kilo 108-115 ila mwanzo kabisa alikuaga kimbaumbau (kwa mujibu wa picha zake)
Hakikisha UNAJAMBA Zaidi Ya Mara 7 Kwa Siku.