Nifanyeje ili nipungue uzito ?

Nifanyeje ili nipungue uzito ?

king suleman

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2014
Posts
1,749
Reaction score
1,149
Wana Jf Habari Za J2 Week End Ndo Hyo Ina End Ila Kwa Wengine Kesho Bd Ni Week End (off) Back To Topic Me Nna 22 Yrs Ila Ni Mmene Zaid Ya Kilo Sabini Ila Huwa Cpendi Nikiona Wenzangu Wenye 25 Yrs Wana 55 -6o Kg Sa Najihis Vibaya Nahitaji Kupunguza Kilo Zaidi Ya Kumi,

Hapa Bd Ni Student Je Nikipata Kaz Itakuwaje? So Kwa Mwenye Ushauli Jins Ya Kufanya Ili Nipunguze Kilo kwa kua zinazid kuongezeka NB. mazoez cfanyi saaana nahic ndo ntakua mnene zaid, pia baba angu ana kilo 108-115 ila mwanzo kabisa alikuaga kimbaumbau (kwa mujibu wa picha zake)
 
Hebu fanyia kazi kwanza hiyo heading, mana hao unaowahitaji sidhani kama wanaexist duniani
 
Punguza carbohydrates~ugali na wali hasa wakati wa chakula cha usiku~dinner,punguza chips mayai~ikiwezekana acha kabisa.Zingatia mazoezi anza kwa kutembea/tembea ya kimazoezi ambayo its almost unakimbia~kula matunda na mboga za majani kwa wingi~punguza red meat(ng'ombe na mbuzi),kiti moto weka pembeni~kunywa maji mengi kabla ya kula na uamkapo asubuhi,soda na majuice juice haya ya viwandani acha kabisa!matunda na mazoezi iwe sehemu ya maisha yako!karibu
 
Kuna bidhaa asilia inaweza kukusaidia kupungua uzito unaotaka. Inapatikana kwa tsh. 490,000 dozi nzima.
Ofisi ziko Dar, ila wana namna ya kukufikishia mkoani. Ukihitaji ntakupa website yao, kuna maelezo na contact zao. Wanatoa dhamana ya kurudishiwa pesa yako usipopata matokeo mazuri unayoyataka.
 
Fanya mazoezi, punguza vyakula vya wanga na sukari
 
Punguza carbohydrates~ugali na wali hasa wakati wa chakula cha usiku~dinner,punguza chips mayai~ikiwezekana acha kabisa.Zingatia mazoezi anza kwa kutembea/tembea ya kimazoezi ambayo its almost unakimbia~kula matunda na mboga za majani kwa wingi~punguza red meat(ng'ombe na mbuzi),kiti moto weka pembeni~kunywa maji mengi kabla ya kula na uamkapo asubuhi,soda na majuice juice haya ya viwandani acha kabisa!matunda na mazoezi iwe sehemu ya maisha yako!karibu

umesema vyema kabsa, ulaji hasa wa carbs na mafuta ukipungwa zoezi kidgo maji yalichanganywa na limao ni muhimu pia
 
Punguza carbohydrates~ugali na wali hasa wakati wa chakula cha usiku~dinner,punguza chips mayai~ikiwezekana acha kabisa.Zingatia mazoezi anza kwa kutembea/tembea ya kimazoezi ambayo its almost unakimbia~kula matunda na mboga za majani kwa wingi~punguza red meat(ng'ombe na mbuzi),kiti moto weka pembeni~kunywa maji mengi kabla ya kula na uamkapo asubuhi,soda na majuice juice haya ya viwandani acha kabisa!matunda na mazoezi iwe sehemu ya maisha yako!karibu

asante ndugu umempa ushauri mzuri ambao na mimi nimeuelewa na nitaufatilia
 
Mazoezi yanasaidia sana mtu wangu, huwezi kunenepa zaidi. Mi nilikua na kilo kibao, kwa sababu ya mazoezi nimepungua zaidi ya kilo kumi. Jijengee utamaduni wa kufanya mazoezi hata nusu saa tu kwa siku, ila usitegemee quick results mana'ke utakua disappointed. Njia nyingine ni diet au kupunguza kula kwa kiasi kikubwa, ila hiyo ni ya muda mfupi mana'ke utashindwa kukaa na njaa muda mrefu. Kama una uwezo mzuri kifedha unaweza kwenda gym, tafuta trainer akufanyishe mazoezi, hiyo ndo effective zaidi kwasababu ukiwa na mtu anakupush kufanya mazoezi huwezi kusikia uvivu
 
Wana Jf Habari Za J2 Week End Ndo Hyo Ina End Ila Kwa Wengine Kesho Bd Ni Week End (off) Back To Topic Me Nna 22 Yrs Ila Ni Mmene Zaid Ya Kilo Sabini Ila Huwa Cpendi Nikiona Wenzangu Wenye 25 Yrs Wana 55 -6o Kg Sa Najihis Vibaya Nahitaji Kupunguza Kilo Zaidi Ya Kumi,

Hapa Bd Ni Student Je Nikipata Kaz Itakuwaje? So Kwa Mwenye Ushauli Jins Ya Kufanya Ili Nipunguze Kilo kwa kua zinazid kuongezeka NB. mazoez cfanyi saaana nahic ndo ntakua mnene zaid, pia baba angu ana kilo 108-115 ila mwanzo kabisa alikuaga kimbaumbau (kwa mujibu wa picha zake)

Hakikisha UNAJAMBA Zaidi Ya Mara 7 Kwa Siku.
 
Punguza carbohydrates~ugali na wali hasa wakati wa chakula cha usiku~dinner,punguza chips mayai~ikiwezekana acha kabisa.Zingatia mazoezi anza kwa kutembea/tembea ya kimazoezi ambayo its almost unakimbia~kula matunda na mboga za majani kwa wingi~punguza red meat(ng'ombe na mbuzi),kiti moto weka pembeni~kunywa maji mengi kabla ya kula na uamkapo asubuhi,soda na majuice juice haya ya viwandani acha kabisa!matunda na mazoezi iwe sehemu ya maisha yako!karibu
Kitimoto unamdangnya bana ,,ache she,akaange,arost
 
Wana Jf Habari Za J2 Week End Ndo Hyo Ina End Ila Kwa Wengine Kesho Bd Ni Week End (off) Back To Topic Me Nna 22 Yrs Ila Ni Mmene Zaid Ya Kilo Sabini Ila Huwa Cpendi Nikiona Wenzangu Wenye 25 Yrs Wana 55 -6o Kg Sa Najihis Vibaya Nahitaji Kupunguza Kilo Zaidi Ya Kumi,

Hapa Bd Ni Student Je Nikipata Kaz Itakuwaje? So Kwa Mwenye Ushauli Jins Ya Kufanya Ili Nipunguze Kilo kwa kua zinazid kuongezeka NB. mazoez cfanyi saaana nahic ndo ntakua mnene zaid, pia baba angu ana kilo 108-115 ila mwanzo kabisa alikuaga kimbaumbau (kwa mujibu wa picha zake)
Ukikosa hapa ushauri wa kukuwezesha kupunguwa uzito na kilo zako nitafute mimi Dawa kukupunguza uzito na kilo ninayo ukitaka bonyeza hapa.DAWA YA KUPUNGUZA UNENE MAFUTA NA TUMBO
 
tatizo husababidhwa na cholestrol au kuwa na mafuta meng mwilin pia kuna uwezekano unawezo kano ukawa na tatzo la mifupa mifupa kuwa na matatzo inaweza kuongeza uzito kwa kias kikubwa pia inawezekana ukawa.una underproduction ya blood..ambayo inazalishwa na bone marrow sasa ukitaka maelezo zaid na matibabu yake nitafute 0765650028 mm nasomea medical laboratory doctor
 
Back
Top Bottom