Naombeni ushauri namna ya kuongeza imani yangu kwa haya mashirika wadhibiti ubora!
Yamkini wanafanya kazi nzuri sana lakini imani yangu kwao ilishakufa kabisa!
Yaani ni mara mia uniambie hiki kitu ni bora kwa reference zingine tofauti na haya mashirika ya ubora tz!.
Kila nikiona nembo ya udhibitisho wa TBS, au TFDA Huwa nakosa amanj kabisa yaani!
Hata nikitumia bidhaa tajwa basi huwa natumia kwasababu hakuna mbadala wake lakini siyo kwa imani kwamba bidhaa hiyo ni bora!
Chanzo cha kukosa imani kwa TBS na washirika wake wengine wa viwango Tanzania!
Juzi kati kuna poda ya watoto ya Jonson Jonson nayo tumeambiwa ina madhara!
Na ina nembo ya TBS! je ilibandikwaje nendo hadi bidhaa imeingia kwa walaji?
Kwanini uchunguzi wa TBS huwa unakuja baada ya kungundulika bidhaa ina mapungufu?
Kuna bidhaa ngapi hatari zimo inchini kwa style hii ya TBS?
Huenda wanafanya kazi vizuri lakini naona kabisa hawana tofauti na stika ya enenda kwa usalama barabarani !
Mwenye pesa anabandika hata kama gari bovu!
Je TBS inazingatia ubora kwa kiasi gani au almradi stika tu!

- Ni vile ninashuhudia bidhaa lukuki kama nondo,flat bar, pipes n.k huko madukani hazijafikia viwango stahiki na zinauzwa ( mfano standard ya nondo futi 40 lakini utakuta madukani zimejaa futi 37 tu)
- Waya za umeme ukisoma size mm then ukaamua kupima unaona kuna upungufu wa 0.5mm~1 mm na zipo madukani na zina nembo ya tbs
- Vyakula na vinywaji vingi vinaleta kansa lakini vimebandikwa nembo ya TBS kwa kipimo kipi.
- Unga wa mahindi na vyakula kibao vingine/ vinywaji vinaandaliwa too local na kusambazwa na vina nembo ya TBS