kufanakupona
JF-Expert Member
- Jun 18, 2015
- 522
- 421
kuwa MBWAKuiga wanyama au wadudu ili ufanikishe jambo jema ni jambo zuri, mfano mzuri wa watu walioiga wanyama au wadudu kufanikisha jambo jema kwa maendeleo mema ya dunia ni wanasayansi, wamewaiga wanyama na wadudu kama siafu, mchwa, jongoo, samaki, kobe, birds n.k.
Katika onaona yangu, sijawahi ona mnyama au mdudu anayejamiiana kwa kujiamini, uhakika na ufundi kama mbwa, kama unaona kuna mnyama au mdudu anayemzidi mbwa kwenye kujamiiana mweke hapa.
Sasa, nifanye nini ili niwe kama mbwa kwenye intercourse?
Karibuni.
Kama mbwa.kuwa MBWA
Kwangu ni starehe na fahari ya kiafrika.Hiyo 'powerful sex' inakusaidia nini?
Duh!
Kwa hiyo unataka kuwa MBWA?Kuiga wanyama au wadudu ili ufanikishe jambo jema ni jambo zuri, mfano mzuri wa watu walioiga wanyama au wadudu kufanikisha jambo jema kwa maendeleo mema ya dunia ni wanasayansi, wamewaiga wanyama na wadudu kama siafu, mchwa, jongoo, samaki, kobe, birds n.k.
Katika onaona yangu, sijawahi ona mnyama au mdudu anayejamiiana kwa kujiamini, uhakika na ufundi kama mbwa, kama unaona kuna mnyama au mdudu anayemzidi mbwa kwenye kujamiiana mweke hapa.
Sasa, nifanye nini ili niwe kama mbwa kwenye intercourse?
Karibuni.
Acha kujipa haki PUMBAVU wewe, siyo kila saa kuwa serious, wakati mwingine inabidi urefresh, kama hivi hapa JF. Kama huna cha kuchangia kwenye hii mada kaa kimya.umasikini, ni vile unatumia nguvu nyingi kwa vitu vinavuta pesa kwa kasi na pesa yenyewe yaja taratibu.
Na wewe upo darasa la ngapi?Upo darasa la ngapi?
Wasikitikie wanasayansi wenye akili za uchunguzi wa kiudadisi mpaka wewe unatumia hiyo simu waliogundua, kwa kucomment kitu ambacho hakijengi.Dunia sijui inaelekea wap, watu mnadiriki kutaka kufanya sex kama mbwa
Maada yako mkuu, imenisikitisha sn
Nataka kuwa na UWEZO KAMA WA MBWA.Kwa hiyo unataka kuwa MBWA?
Sasa hiyo maada yako inajenga nn, c upuuz huo, kua ka mbwa, ili ufanye sex kama mbwa.Wasikitikie wanasayansi wenye akili za uchunguzi wa kiudadisi mpaka wewe unatumia hiyo simu waliogundua, kwa kucomment kitu ambacho hakijengi.
Mkuu, katika maisha yangu sitaki kutumia madawa yoyote yale ya kuboost, yaliyo na madhara yasiyo na madhara, sitaki kutumia.Vumbi la Congo ndio suluhisho
Muombe Mungu akubadilishe uwe mbwa ili uwe na uwezo kama wa mbwa.Nataka kuwa na UWEZO KAMA WA MBWA.
Siyo kila mtu imjenge, kwangu nitapata vitu fulani vya maana.Sasa hiyo maada yako inajenga nn, c upuuz huo, kua ka mbwa, ili ufanye sex kama mbwa.
Kuna tofaut sn kat ya binadam na mbwa.