Omulasil
JF-Expert Member
- May 5, 2015
- 8,015
- 10,269
Uko kwa mganga maswali ya nini? We kula dozi lete mrejesho. Utabadilishiwa dozi kama hiyo haikufai.Umeshathibitisha kisayansi ukila mbwa unakuwa na intercourse kama ya mbwa?
Kama unataka kujua dawa hiyo ikoje maana yake uje shule, lipia ada