Nifanyeje ili niwe na powerful sex intercourse kama ya mbwa?

Aisee! Mambo ni mengi duniani
 
Jitahidi kula supu ya mbwa angalau mara tatu kwa siku ukimalaiza mwezi tuletee mrejesho.
Mh!
Mbona hiyo ngumu kumeza!!, kula mbwa tena!!
Unathibitishaje kisayansi kama mbwa wana nutrients za hayo mambo?
 
kuwa mbwa
 
sawa unakwama wapi mbona wengine tuna pull kama ya mbwa ? eleza mapungufu yako nikusaidie chap
Kwenye suala zima la kujamiiana sina mapungufu.
Huwa napenda kudadisi vitu kwa vitendo, nataka kusaidiwa kwa ushauri wa kisayansi kuhusu hili.
 
Mh!
Mbona hiyo ngumu kumeza!!, kula mbwa tena!!
Unathibitishaje kisayansi kama mbwa wana nutrients za hayo mambo?
Mkuu hao wanasayansi unaowaamini walihatarisha maisha yao au ya viumbe wengine ili kufanisha jambo lao jema. Sasa wewe kula mbwa unaona taabu wakatu ndugu zangu pale pembeni wanatafuna kama kawaida.
 
Mkuu hao wanasayansi unaowaamini walihatarisha maisha yao au ya viumbe wengine ili kufanisha jambo lao jema. Sasa wewe kula mbwa unaona taabu wakatu ndugu zangu pale pembeni wanatafuna kama kawaida.
Nithibitishiwe kwanza kisayansi ndipo nianze kula.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…