Uko kwa mganga maswali ya nini? We kula dozi lete mrejesho. Utabadilishiwa dozi kama hiyo haikufai.Umeshathibitisha kisayansi ukila mbwa unakuwa na intercourse kama ya mbwa?
Huwa navutiwa na kutaka kuvijaribu kwa vitendo, vitu ninavyoviona kwa macho.kama hauna shida tayari unajua sasa unauliza nn tena ?
Lazima niulize.Uko kwa mganga maswali ya nini? We kula dozi lete mrejesho. Utabadilishiwa dozi kama hiyo haikufai.
Kama unataka kujua dawa hiyo ikoje maana yake uje shule, lipia ada
Wewe hilo swali unaona gumu na la ushindi?, nimeshalijibu na kulipangua kirahisi. Huyo unayemwaminia mwenzio ameshanyamaza zamani, bado wewe.A hundred million dollar question...[emoji855][emoji855]
Sayansi siyo stories za kukuzwa, watu wamefanya majaribio kwa VITENDO na wamethibitisha matokeo kwa macho.Kula kwa imani sayansi ni overrated stories tu.
Kweli Nchi ya viwanda hiiKuiga wanyama au wadudu ili ufanikishe jambo jema ni jambo zuri, mfano mzuri wa watu walioiga wanyama au wadudu kufanikisha jambo jema kwa maendeleo mema ya dunia ni wanasayansi, wamewaiga wanyama na wadudu kama siafu, mchwa, jongoo, samaki, kobe, birds n.k.
Katika onaona yangu, sijawahi ona mnyama au mdudu anayejamiiana kwa kujiamini, uhakika na ufundi kama mbwa, kama unaona kuna mnyama au mdudu anayemzidi mbwa kwenye kujamiiana mweke hapa.
Sasa, nifanye nini ili niwe kama mbwa kwenye intercourse?
Karibuni.
Wewe jamaa mbishi kweli kweli, sasa nikushauri njia rahisi na utakua unapiga mawino kama dogi,Wewe hilo swali unaona gumu na la ushindi?, nimeshalijibu na kulipangua kirahisi. Huyo unayemwaminia mwenzio ameshanyamaza zamani, bado wewe.
Hata muungane "A hundred million", hamuwezi kunishinda na kunitoa kwenye msimamo wangu.
wewe ni binadamu na yeye mbwa katu hamuwezi kufanana,vipi ukiwaza pia kuwa na akili kama za mbwa?Kuiga wanyama au wadudu ili ufanikishe jambo jema ni jambo zuri, mfano mzuri wa watu walioiga wanyama au wadudu kufanikisha jambo jema kwa maendeleo mema ya dunia ni wanasayansi, wamewaiga wanyama na wadudu kama siafu, mchwa, jongoo, samaki, kobe, birds n.k.
Katika onaona yangu, sijawahi ona mnyama au mdudu anayejamiiana kwa kujiamini, uhakika na ufundi kama mbwa, kama unaona kuna mnyama au mdudu anayemzidi mbwa kwenye kujamiiana mweke hapa.
Sasa, nifanye nini ili niwe kama mbwa kwenye intercourse?
Karibuni.
Hivyo viwanda tunavitengeneza kwa wataalam wetu wenyewe?, au kwa msaada wa wataalam wa nchi za nje?Kweli Nchi ya viwanda hii
Sipingi wala sikatai dawa za kiasili, hiyo ndiyo asili yangu Mwafrika. Japo naamini tiba asili, hii ya kwako naiona kabisa kama changa la macho.Wewe jamaa mbishi kweli kweli, sasa nikushauri njia rahisi na utakua unapiga mawino kama dogi,
Mtafute dog fanya kama unamuasi, chukua korodani zake zikaange mpaka ziwe jivu, saga upate unga kisha jichanje pande zote za kiuno halafu sugulia huo unga.
Yaani kila muda ukifika yule mbwa alipokuwa anapiga show, utakuwa unachukua nafasi yake...
Kamanda mganga huwa anatiliwa wasi wasi ..?wewe una shida kweli ?Sipingi wala sikatai dawa za kiasili, hiyo ndiyo asili yangu Mwafrika. Japo naamini tiba asili, hii ya kwako naiona kabisa kama changa la macho.
Wewe unaiona ya kweli?
Ulipolenga wewe, umelenga mimi siwezi kuwa na umbo la mbwa, hiyo sawa nakubali, siwezi kuwa na umbo la mbwa, ila NAWEZA KUWA NA TABIA ZA MBWA.wewe ni binadamu na yeye mbwa katu hamuwezi kufanana,vipi ukiwaza pia kuwa na akili kama za mbwa?
Kuna waganga wa aina mbili:Kamanda mganga huwa anatiliwa wasi wasi ..?wewe una shida kweli ?
Fuata maelekezo bila kukosea, angalia usikosee ukachukua tabia za mbwa jike....
Si bora usingecomment tu!, comment gani sasa hii!muombe mungu akugeuze uwe MBWA .
ila wakati wa maombi usisahau kuomba uwe na jinsia gani
Mganga ni mganga tu, inategemea anaegemea wapi. Kuangamiza au kutibia,Kuna waganga wa aina mbili:
1: Jadi
2: Kitabibu
Kwa ushauri wako uliopita, ulilenga wa kijadi, ndiyo maana nikapinga, mganga wa kienyeji hana scientific proofs. Ungetoa ushauri wa mganga wa kitabibu nisingekubishia.
Unakimbiliaje kunifananisha na jinsia ya kike kirahisirahisi hivyo?, au hisia na akili yako imeshalemaa kwenye uanamke?