Nifanyeje ili niweze kuandika kitabu?

Nifanyeje ili niweze kuandika kitabu?

Mrdeom

New Member
Joined
Nov 22, 2020
Posts
2
Reaction score
1
Salaam wanajukwaa , naitwa omary mkazi wa iringa, ninaweza kuandika mambo yanayohusu fasihi(ushairi, riwaya,tamthiliya na hadithi fupi), sijawahi kufanikiwa kuandika kitabu lakini naishia kuandika tu kwenye madaftari, Ila ndoto yangu nije kuandika vitabu vingi sna na visomwe na watu ,Sasa naomba mnipe ushauri ,vilevile nahitaji support pia kwa walioweza kuandika vitabu walifanyaje, wasalam
 
Chapa kwenye kompyuta. Andaa muswada wa kitabu chako. Kikiwa tayari, ukuje tena hapa tukushauri kifuatacho eyeTV.
 
Jaribu ku google hilo swali lako natumaini utasaidika kupata muongozo!

Anza na kitabu simpo tu kwa kuanzia.
 
INATEGEMEA AINA YA KITABU MKUU, KAMA KINAJITAJI UTAFITI WA KILA UNACHOANDIJA JIPANGE
 
Back
Top Bottom