SukariTamu
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 295
- 59
Heshima zenu wakuu..nasumbuliwa na fikra za kutaka kumjua baba yangu mzazi maana tangu nimezaliwa sikuwahi kumuona wala kumsikia nimelelewa na wajomba na mama pekee..nafikiria kumweleza mama lakini naogoga ataona kama sithamini juhudi zake juu yangu...je wakuu nitumie njia gani ili nipate kumfahamu baba yangu maana najihisi kama nimepungukiwa kitu flani kwenye nafsi yangu..