Nifanyeje ili niweze kumfahamu baba ya mzazi?

Nifanyeje ili niweze kumfahamu baba ya mzazi?

Hivi kwa nini usumbuke kumtafuta mtu ambaye hana mpango na wewe? Ambaye hajali kam upo hai au mfu??
 
The bestway to unlock the clue ... ni kuongea na ndugu zako wa karibu, watumie hao hao waliokulea, watakupa mwanzo mwema wa kumjua Baba!!Achana na Mama, anaweza akawa na mengi sana moyoni ...
 
Nilikuwa na-post story fulani very interesting, ambayo huenda ingekupa mwangaza ktk harakati zako, lkn bahati mbaya natumia simu na memory ikawa full xo ikaji-delete, nikipata nafasi nta-post tena.

Pole sana kaka ila usikate tamaa huenda baba huko aliko na yeye ana hamu sana ya kukutana na wewe, mifano iko mingi tena ni halisia.
 
Fanya utakavyo fanya lakini ndugu yangu kwa hali yeyote usimkwaze mama yako!sacrifice zoote alizozifanya ni kwa maslahi yako tu japo kwake ni upendo wa dhati alionao kwa mwanawe kipenzi.
Huyo baba yako kama ni isue at least hata baba wadogo au akina shangazi wangekuwa wanawapigia misele wewe na mama yako ,ukiona kimya ujue hiyo familia ya kiumeni haina mpango -ndugu endelea kufyonza upendo na blessing kutoka kwa mother mbona hata sie tuliobahatika kuwa na complete family bado tuna m feel zaidi mother kuliko Mshua!
 
Hili ni tatizo kubwa sana katika jamii nyingi hasa za kiafrika!Ni haki ya mtoto kumjua Baba yake.Lakini ukiwahoji wanawake wengi wana slogan yao ya kijinga.."Baba yako wa nini... alikukataa...wengine huunda uongo wa "alishakufa..n.k.Huu ni upumbavu!Matatizo yenu (wazazi) msiwaunganishe watoto ndani yake.Mwache mtoto ata- judge mwenyewe.Hii ni kumlazimisha mtoto kuhukumu.Laana hii inazaa matawi mengi mpaka wake za watu ndani ya ndoa wanafikia kuzaa na mtu "anayempenda" nje ya ndoa halafu waume kusingiziwa kuwa ni mtoto wake!Hapa mama ana mizigo miwili ya ibilisi ndani ya nafsi yake.Kumdanganya mumewe kwamba ni mtoto wake, with mean time mtoto kujua kuwa the man ni baba yake.Tafakarini hili!
Chunguzeni sana watoto first borns la miaka hii.mama alikuwa ana mabwana zaidi ya wawili akivizia ataolewa na yupi.Kumbuka hapa uzinifu unaendelea kama kawaida.Inapotokea mmojawapo kati ya wale wagombea kumpata basi huyo huyo ndiye mwenye mtoto ilihali baba halisi anajulikana na Mama.Huyo mama hakujitia mwenyewe mimba ila kuna mtu alihusika.sasa ni wajibu wake kumweleza mtoto kwa upendo tu kwamba fulani ndiyo baba yako.Kufichaficha maradhi,kifo kitakuumbua.Have a nice day.......!:
 
Back
Top Bottom