nyahinga
Member
- Dec 18, 2016
- 45
- 23
Habari mwanaJF natumaini umzima wa afya njema kabisa.
Leo napenda kuomba ushauri wako kuhusu biashara yangu niliyopanga kuianzisha hapo baadae, kiukweli wazo langu la biashara ni zuri sana ni itakuwa biashara ya kudumu endapo nitafanikiwa kuianzisha.
Kwaleo naomba ushauri wako maana najua wewe ni mmja ya wapambanaji kama Mimi. Mimi nimefanikiwa kuanzisha wazo la biashara kama hatua ya kwanza kabisa, lakini sasa nimeshindwa kuianzisha hii biashara kwa changamoto kubwa hasa ya swala zima la pesa. Yaani sina pesa ya kufanikisha kutekeleza wazo langu la biashara, hivyo naomba ushauri wako nifanyeje ili niweze kupata pesa, kukopa siwezi maana sina dhamana yoyote.
Nawasilisha.