Nifanyeje ili pm zangu ziwe zinajibiwa??

Sangine wanaume wenzako ndo mana wanakukaushia
Ohoo hii ndo Jf bhana

invest what you are willing to loose
 
Mtu anakuja pm...nambie, kila baada ya dk 5..nambie. Au analazimisha umpe namba hata kabla hamjajenga urafiki. So boring
Hehe..umenifanya nijifikirie upya kukupm wangu.
 
Mtu anakuja pm...nambie, kila baada ya dk 5..nambie. Au analazimisha umpe namba hata kabla hamjajenga urafiki. So boring
Ha ha hapo kweli inaleta shida kumuelewa mtu wa hivyo...
 
demi kwanini umejiita hivyo?
My favorite artist kwenye Pop ni Demi Lovato umewahi msikiliza?
 
Ha ha hapo kweli inaleta shida kumuelewa mtu wa hivyo...
Mwingine anakuja vizuri na salamu unamjibu, msg mbili tatu anauliza umevaa nini? Anaanza sex chat from nowhere kha! Inashangaza sana sometimes.
 
Mtu anakuja pm...nambie, kila baada ya dk 5..nambie. Au analazimisha umpe namba hata kabla hamjajenga urafiki. So boring
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hao ni ma domo zege
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…