Nifanyeje ili pm zangu ziwe zinajibiwa??

Lavit

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2011
Posts
14,834
Reaction score
32,522
Wadau ebu nipeni mbinu za kuchatt na warembo wa jf...
Maana kila nikijaribu kutembelea pm zao sipati majibu, yaan sijawahi jibiwa pm hata moja!

Wakongwe nipeni maujanja, huwa mnatumia mbinu gani?
 
Hebu niambie umetembelea za nani na nani hao wenye roho mbaya hivi wanaharamu hawa...

Yaani kabisa na kujitutumua kuremba mwandiko bado wanakutolea?
 
Hatari sana mkuu..sijui nakosea wapi!!
 
Mmm chukua IDs zao wote wasiojibu pm zako wataarifu moderators kwa maamuzi zaidi ya kinidhamu!
 
Back
Top Bottom