Mkatavimeo
JF-Expert Member
- Jan 3, 2011
- 2,150
- 872
Katafute kademu kamoja hivi kanaitwa ka Lizzy. Nna uhakika kwa nguvu za kahirizi kake hali yako itabadilika nyuzi 180.
NN, Lizzy ana hirizi au shanga? Na mmachame toka lini akajua hayo mambo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katafute kademu kamoja hivi kanaitwa ka Lizzy. Nna uhakika kwa nguvu za kahirizi kake hali yako itabadilika nyuzi 180.
NN, Lizzy ana hirizi au shanga? Na mmachame toka lini akajua hayo mambo?
duu ??? Wanaume tena?
Hapana mkuu sitamani kabisaa hata chembe ya kuliwaza hilo
Wewe unatafuta wrath ya dada zetu...by the way umeangalia debate ya SC leo?Katafute kademu kamoja hivi kanaitwa ka Lizzy. Nna uhakika kwa nguvu za kahirizi kake hali yako itabadilika nyuzi 180.
Potezea tu mi naona una bahati sana hasa katika kipindi hiki cha maradhi.
Ila isije ikawa una kanjia kengine ka kujiridhisha ?
Kutamani tu bila hisia yoyote kwangu mimi ni upuuzi (wengine wako huru kufikiria vinginevyo). Naamini kabisa utatamani pale utakapo pata mwanamke anae shtua hisia zako. Focus on finding mwanamke huyo kuliko kufocus on matamanio ya mwili.
mara za mwisho ulishiriki tendo la ndoa kuna kitu kilikukera?
asante Mungu
nilishasikia uchungu moyoni.
Basi huna tatizo kubwa.
Ukifika muda wako wa kupenda hiyo kitu utafanya mwenyewe bila kulazimishwa
miaka 25 bado mdogo, sioni kama una hatari.
Lakini zile ndoto ulishawahi pata?
Wewe unatafuta wrath ya dada zetu...by the way umeangalia debate ya SC leo?
Katafute kademu kamoja hivi kanaitwa ka Lizzy. Nna uhakika kwa nguvu za kahirizi kake hali yako itabadilika nyuzi 180.