Nifanyeje kabla ya kuoa ?

Elia

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2009
Posts
3,425
Reaction score
568
Wakuu: habari ya wked? Kuna hili linanisumbua. Inaonyesha ndoa nyingi zinaingiliwa (kunakuwa na cheating) na ma house boy/shamba boy, house girl, marafiki, majirani, wauza urembo, mapedejee na wengine wengi.
Hii inanitisha sana, Naombeni ushauri nifanyeje kabla ya kuoa? Ili nitakapooa nipunguze au kuondokana na karaha hii
Nawakilish
 
Kabla ya kuingia kwenye ndoa, hakikisheni kwanza wote mnaingia kwenye ndoa kifikra na kihisia. Kanisani au misikitini mnatimiza tu maagizo ya dini, ila ndoa mshaifunga mioyoni mwenu kwa very strong bond.
 
BETTER THAT WAY....!i am telling you

I thought that way, but familia zetu za kibongo hawakuelewi, they keep on insisting/asking when are you going marry
 
Kabla ya kuingia kwenye ndoa, hakikisheni kwanza wote mnaingia kwenye ndoa kifikra na kihisia. Kanisani au misikitini mnatimiza tu maagizo ya dini, ila ndoa mshaifunga mioyoni mwenu kwa very strong bond.

Uko sahihi mkuu, ila ukisikia habari za watu na matukio yanayowapata wanandoa cheating zinaboa sana, There i get stranded
 
i can feel you....

hashy kuna topic ilikuwa hapa jf last week, jamaa MKE wake alikua analiwa na mpakarangi wa kucha, The guy was providing almost everything for her!!!
 
live your life mukubwa....!as i am talking to you i am married.tafadhali usioe

that's that!..

Teano I get you, but who will enjoy my fortune? what should i do mkuu?
 
hashy kuna topic ilikuwa hapa jf last week, jamaa MKE wake alikua analiwa na mpakarangi wa kucha, The guy was providing almost everything for her!!!

ndo maana na kwambia usioe!...

wanawake wa kuolewa walikuwepo zamani.....!sisi tuliooa zamani ndo tunapeta
 
Teano I get you, but who will enjoy my fortune? what should i do mkuu?

just get a kid,or two THEN LIVE YOUR LIFE

i think wazazi wako na wanao ndo watakaoinjoi future yako
 
ndo maana na kwambia usioe!...

wanawake wa kuolewa walikuwepo zamani.....!sisi tuliooa zamani ndo tunapeta

Whats up kijana......
Mwache jamaaa aoe bana.....he is desperate....
 
just get a kid,or two THEN LIVE YOUR LIFE

i think wazazi wako na wanao ndo watakaoinjoi future yako

Mhh, issue is who to provide those kids, Mpaka sasa wazazi wanaendelea ku enjoy, na ndio hao wameanza kunibana nitafute mwenza
 
hashy kuna topic ilikuwa hapa jf last week, jamaa MKE wake alikua analiwa na mpakarangi wa kucha, The guy was providing almost everything for her!!!

kaka hawa watu ni very hard to understand and at the same time very easy to understand but all in all it depends on how well you can handle them.....wala usiwe na hofu kuhusu kuoa cha msingi muombe mungu akujaalie umpate ambae mtaendana. Hizi case za mwanamke kuchakachuliwa sijui na muuza urembo mara house boy ukizifuatilia utakuta kuna a bit of weakness kwenye ndoa though sio all the time.
 
Whats up kijana......
Mwache jamaaa aoe bana.....he is desperate....

Mkuu ningependa nikae alone kama nilivyo sasa kwani na enjoy! But sasa na wajomba wameshaanza kwenda mbali zaidi, imekuwa kero
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…