Elia
JF-Expert Member
- Dec 30, 2009
- 3,425
- 568
Wakuu: habari ya wked? Kuna hili linanisumbua. Inaonyesha ndoa nyingi zinaingiliwa (kunakuwa na cheating) na ma house boy/shamba boy, house girl, marafiki, majirani, wauza urembo, mapedejee na wengine wengi.
Hii inanitisha sana, Naombeni ushauri nifanyeje kabla ya kuoa? Ili nitakapooa nipunguze au kuondokana na karaha hii
Nawakilish
Hii inanitisha sana, Naombeni ushauri nifanyeje kabla ya kuoa? Ili nitakapooa nipunguze au kuondokana na karaha hii
Nawakilish