The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
mmmh not after what i learnt from JF,kabla hujaweka gia mi ntakuwa nishafika unakotaka kwenda........😛layball:
please tafuta hii movie uone.........unfaithful ya Robert Gere
Teano I get you, but who will enjoy my fortune? what should i do mkuu?
Mkuu nitaishi hivi mpaka lini?
Wakuu: habari ya wked? Kuna hili linanisumbua. Inaonyesha ndoa nyingi zinaingiliwa (kunakuwa na cheating) na ma house boy/shamba boy, house girl, marafiki, majirani, wauza urembo, mapedejee na wengine wengi.
Hii inanitisha sana, Naombeni ushauri nifanyeje kabla ya kuoa? Ili nitakapooa nipunguze au kuondokana na karaha hii
Nawakilish
Mkuu,
Kama baada ya ushauri wote ulioupata hapa, na pia na kusumbuliwa na fikra za cheating na utaamua kuoa basi ujitayarishe kwa murder case.
Utaiingia ndoa kwa nia ya kutafuta ushahidi tu wa cheating na matendo yako au kauli zako ndizo zitakazomkosesha raha mkeo na hivyo kumpelekea kutafuta mtu wa kumfariji hata kama hatakuwa na nia au lengo la kucheat atajikuta ametumbukia huko.
Sasa uamue kusuka au kunyoa. Ukiamua kuoa na dhana zako hizo,ujitayarishe kwa murder case.
Usipooa basi uamue kuwa father wa kikatoliki, vyenginevyo utapata tabu sana.
Kwenye ndoa hakuna guarantee ndugu, ni bahati nasibu.
machungu yatakuwepo tu kama sio ya cheating basi mengineyo, hutaoa malaika ,utoa binadamu.
Pia kuoa kuna raha zake ,sio shida tupu.
Ukitaka kuyajua ni lazima uingie humo kwa kuhadithiwa tu itakuwa kama kutizama mkanda wa video.
Oa bana upate maraha, yakija maudhi uchukulie kuwa ni ajali kazini tu!
Nimekupata, nasikia huu msemo 'Walio ndani wanatamani kutoka na walio nje wanatamani kuingia' ni kweli mkuu?? (walio ndani)
Bado hujaoa?
nimemuoa rr.
:nod:
kaka umenifurahisha sana na swali lako..mie mwenyewe napigiwa kelele mpaka basi kwa hiyo usifikilie huko peke yako..mbaya zaidi ni pale unapooa na kumwacha demu wako bongo nawe kwenda ng'ambo kutafuta maisha au kufanya kazi mikoa tofauti..sasa hapo unakuwa kama umewaolea wengine...
Majibu ni magumu sana..
Tafua watoto bila kuoa.