Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Hakuna ushahidi wowote wa kisayansi ambao unaweza kudhibitisha kuwa chanjo kwa watoto ni mbaya na kwa hiyo isitumike!We unaijua? Do not underestimate the power of unknown
Bwanawe kwani we ndio doctor of medicine wa dunia yote hii? Huwez juwa kila kitu.......hata AIDS wanatuaminisha ipo kisayansi wakati ni uzushi tu.Hakuna ushahidi wowote wa kisayansi ambao unaweza kudhibitisha kuwa chanjo kwa watoto ni mbaya na kwa hiyo isitumike!
Watoto tuliopewa chanjo tunaongoza kwa kufa kuliko wasiopewa. Nina wasiwasi na machanjo. Maana ndugu wa baba yangu wote wapo na watu wa zamani wengi mpaka wamefikia uzee. Lakini sisi kizazi hiki tumeteketea mpaka aibu. Jamaa anaweza akawa yupo sahihi japo amekuja tofauti na iman zenuKachunguze birth rate na death rate ilikuwaje ili ufute ujinga wako .
Nafurahi kuona watu wenye uelewa wa kujitegemea kama wewe. Big up broh. Watu hawajiulizi kwanini tz pekee sio wengine????Yah! Naiona alama katika bega la kulia 'wanaiita chanjo ya ndui' (alama ya mtanzania) siwalaumu wazee wangu hawakujua lolote kwa kipindi kile.
Ila mimi kama baba, sitaruhusu hizi chanjo za kijinga kwa mtoto wangu labda niwe marehemu
Napata faraja kuona kuna watu wana mawazo kama yangueti ee google chanzo na jinsi zinahusishwa na magonjwa yanayotokea mbeleni ujue nini unashabikia ...usikalili mzungu anajua anafanya nini na kabla hajafanya kitu lzm akulazimishe ukipende ndo afanye.....we unadhani hepatitis imeanza juzi ee kwan leo hii tumefikia mpk kutaka chanjo wkt ugonjwa why kipindi hiki tu,think kwa akili zako mwenyewe sio kusaidiwa kufikiria
Bwanawe kwani we ndio doctor of medicine wa dunia yote hii? Huwez juwa kila kitu.......hata AIDS wanatuaminisha ipo kisayansi wakati ni uzushi tu.
Hawana hata ndiu ? Zamani siyo sasa msiwachanje wacheniWatoto tuliopewa chanjo tunaongoza kwa kufa kuliko wasiopewa. Nina wasiwasi na machanjo. Maana ndugu wa baba yangu wote wapo na watu wa zamani wengi mpaka wamefikia uzee. Lakini sisi kizazi hiki tumeteketea mpaka aibu. Jamaa anaweza akawa yupo sahihi japo amekuja tofauti na iman zenu
Dawa ni dawa mbona madawa ya asili kama aloe vera na mlonge huwezi kuta zimeacha kutibu kwa sababu ya vijidudu kubadilika tabia na uwezo wa kushambulia mwili...mbona watanzania wanaongea vitu wasivyo vijua.......unafahamu kuwa vijidudu vina badilika tabia na uwezo wa kushambulia mwili?.....moja ya sababu kubwa ya inayowa badilisha ni matumizi mabaya ya dawa...hisusan kutotimia dozi as prescribed........for more information nenda ka google *how bacteria/viruses develop resistance to drugs...
Jiulize swali moja tu kwamba mbona ukiugua unapewa dawa na unapona eg. Malaria,typhoid,kuhara,kupungukiwa maji ,/damu,na magonjwa menginemengine?kama kinga hazina haja kuna umuhimu gani wa wewe kwenda hospital ukiugua kama huamini katika hayo??? Na hata kama si wewe bali hata jamaa zako na ndugu zako hutibiwa kwa madawa hayo na hupona na kurejewa na uzima tena,.kinga ni muhimu usihusishe na maswala mengine ya kiimani na ndio maana zaman watu walikufa sana kwa magonjwa ya ajabu ajabu kwa vile hawakujua tiba wala chanjo ndio maana ukoma umekoma kwa sasakwan watoto wa zmn walikua wanapewa chanjo?ondoeni ujinga wenu fanyen tafiti za chanjo nyie mpate kujua siri ndan yake
utamlea kwenye ki boxbila kum expose kwenye risk.
Tusihamishie mada kwenye aids....kila mtu aamini vile anavyoamini. We hunijui usitake niamini unachokiamini[emoji115]Hii ndo huwa tunaita conspiracy theory kwa sababu unatakiwa utumie ushahidi wa kisayansi kudhibitisha kuwa AIDS haipo na siyo kutumia blaa blaaa au hisia zako kudhibitisha kuwa AIDS haipo!
Zinatibu sawa lakini si ndi utaambiwa kunywa dumu la lita 20 kwa siku 7.Dawa ni dawa mbona madawa ya asili kama aloe vera na mlonge huwezi kuta zimeacha kutibu kwa sababu ya vijidudu kubadilika tabia na uwezo wa kushambulia mwili...
Yaan nimetamani kama kungekuwa na kitu kinacho iongezea uzito LIKE ili iwe kubwaaaaaaa na nzitooo nikutunuku maana naona hii kama haijabeba uzito nilio umaanishaKachunguze birth rate na death rate ilikuwaje ili ufute ujinga wako .
asante mkuuYaan nimetamani kama kungekuwa na kitu kinacho iongezea uzito LIKE ili iwe kubwaaaaaaa nikutunuku maana naona hii kama haijabeba uzito nilio umaanisha