Nifanyeje kumwepusha mwanangu kupatiwa Chanjo?

Nifanyeje kumwepusha mwanangu kupatiwa Chanjo?

kaka kweli umeandika wewe hapo juu au umeandikiwa? au unatuinjoi tu nyuma ya keyboard? kampe chanjo mtoto huyo
 
Sio lazima mtoto wako apewe chanjo, kama wewe hutaki. Maana wengine wanaogopa asije pata ugonjwa wa autism! (Ingawa mpaka leo hamna alieweza kutoa evidence autism inasababishwa na chanjo) Mtoto wako asipopata chanjo bado atalindwa na kitu kinaitwa Herd Immunity. Nenda google ukasome kuhusu Herd Immunity.
 
Hakuna ushahidi wowote wa kisayansi ambao unaweza kudhibitisha kuwa chanjo kwa watoto ni mbaya na kwa hiyo isitumike!
Bwanawe kwani we ndio doctor of medicine wa dunia yote hii? Huwez juwa kila kitu.......hata AIDS wanatuaminisha ipo kisayansi wakati ni uzushi tu.
 
Hizi chanjo ni muhimu... Hata nchi zilizoendelea wana utaratibu wa kutoa chanjo kwa watoto... Elimu ya chanjo ipo wazi kabisa kama una mashaka na hizo chanjo unaweza ukatafuta details zaidi kwa wataalamu na ukaondoa hizo doubts zako...

Ila kwa ushauri ni muhimu kumpatia chanjo mtoto wako hasa kwa mtoto ambaye yupo chini ya miezi 6.. Epuka hizo imani potofu na hayo ma- conspiracy theories.. Fanya uamuzi sahihi Mkuu
 
Kachunguze birth rate na death rate ilikuwaje ili ufute ujinga wako .
Watoto tuliopewa chanjo tunaongoza kwa kufa kuliko wasiopewa. Nina wasiwasi na machanjo. Maana ndugu wa baba yangu wote wapo na watu wa zamani wengi mpaka wamefikia uzee. Lakini sisi kizazi hiki tumeteketea mpaka aibu. Jamaa anaweza akawa yupo sahihi japo amekuja tofauti na iman zenu
 
Yah! Naiona alama katika bega la kulia 'wanaiita chanjo ya ndui' (alama ya mtanzania) siwalaumu wazee wangu hawakujua lolote kwa kipindi kile.

Ila mimi kama baba, sitaruhusu hizi chanjo za kijinga kwa mtoto wangu labda niwe marehemu
Nafurahi kuona watu wenye uelewa wa kujitegemea kama wewe. Big up broh. Watu hawajiulizi kwanini tz pekee sio wengine????
 
eti ee google chanzo na jinsi zinahusishwa na magonjwa yanayotokea mbeleni ujue nini unashabikia ...usikalili mzungu anajua anafanya nini na kabla hajafanya kitu lzm akulazimishe ukipende ndo afanye.....we unadhani hepatitis imeanza juzi ee kwan leo hii tumefikia mpk kutaka chanjo wkt ugonjwa why kipindi hiki tu,think kwa akili zako mwenyewe sio kusaidiwa kufikiria
Napata faraja kuona kuna watu wana mawazo kama yangu
 
Mbona raia wa nchi zingine hawana hiyo alama ya ndui?Ina maana ndui ipo Tz tu
 
Bwanawe kwani we ndio doctor of medicine wa dunia yote hii? Huwez juwa kila kitu.......hata AIDS wanatuaminisha ipo kisayansi wakati ni uzushi tu.

[emoji115]Hii ndo huwa tunaita conspiracy theory kwa sababu unatakiwa utumie ushahidi wa kisayansi kudhibitisha kuwa AIDS haipo na siyo kutumia blaa blaaa au hisia zako kudhibitisha kuwa AIDS haipo!
 
Watoto tuliopewa chanjo tunaongoza kwa kufa kuliko wasiopewa. Nina wasiwasi na machanjo. Maana ndugu wa baba yangu wote wapo na watu wa zamani wengi mpaka wamefikia uzee. Lakini sisi kizazi hiki tumeteketea mpaka aibu. Jamaa anaweza akawa yupo sahihi japo amekuja tofauti na iman zenu
Hawana hata ndiu ? Zamani siyo sasa msiwachanje wacheni
 
mbona watanzania wanaongea vitu wasivyo vijua.......unafahamu kuwa vijidudu vina badilika tabia na uwezo wa kushambulia mwili?.....moja ya sababu kubwa ya inayowa badilisha ni matumizi mabaya ya dawa...hisusan kutotimia dozi as prescribed........for more information nenda ka google *how bacteria/viruses develop resistance to drugs...
Dawa ni dawa mbona madawa ya asili kama aloe vera na mlonge huwezi kuta zimeacha kutibu kwa sababu ya vijidudu kubadilika tabia na uwezo wa kushambulia mwili...
 
kwan watoto wa zmn walikua wanapewa chanjo?ondoeni ujinga wenu fanyen tafiti za chanjo nyie mpate kujua siri ndan yake
Jiulize swali moja tu kwamba mbona ukiugua unapewa dawa na unapona eg. Malaria,typhoid,kuhara,kupungukiwa maji ,/damu,na magonjwa menginemengine?kama kinga hazina haja kuna umuhimu gani wa wewe kwenda hospital ukiugua kama huamini katika hayo??? Na hata kama si wewe bali hata jamaa zako na ndugu zako hutibiwa kwa madawa hayo na hupona na kurejewa na uzima tena,.kinga ni muhimu usihusishe na maswala mengine ya kiimani na ndio maana zaman watu walikufa sana kwa magonjwa ya ajabu ajabu kwa vile hawakujua tiba wala chanjo ndio maana ukoma umekoma kwa sasa
 
Aisee mtu anakwambia mbona zamani khaa hivi maisha ya zamani na sasa Ni sawa? Mivyakula ,uchafuzi wa mazingizira wa sasa na zamani Ni sawa? Uyo mkeo ulimpeleka kujifungulia hosp Kwa nini Si angejifungua Tu nyumbani? Mpeleke mtoto chanjo Ni haki yake wewe usimdhurumu Kwa sababu hawezi jitetea

Sent from mTalk
 
[emoji115]Hii ndo huwa tunaita conspiracy theory kwa sababu unatakiwa utumie ushahidi wa kisayansi kudhibitisha kuwa AIDS haipo na siyo kutumia blaa blaaa au hisia zako kudhibitisha kuwa AIDS haipo!
Tusihamishie mada kwenye aids....kila mtu aamini vile anavyoamini. We hunijui usitake niamini unachokiamini
 
Dawa ni dawa mbona madawa ya asili kama aloe vera na mlonge huwezi kuta zimeacha kutibu kwa sababu ya vijidudu kubadilika tabia na uwezo wa kushambulia mwili...
Zinatibu sawa lakini si ndi utaambiwa kunywa dumu la lita 20 kwa siku 7.
 
Kachunguze birth rate na death rate ilikuwaje ili ufute ujinga wako .
Yaan nimetamani kama kungekuwa na kitu kinacho iongezea uzito LIKE ili iwe kubwaaaaaaa na nzitooo nikutunuku maana naona hii kama haijabeba uzito nilio umaanisha
 
Back
Top Bottom