BENJA1
Member
- Aug 6, 2014
- 39
- 8
Je kuna uwezekano wa mtu kujiunga na chuo cha uuguzi bila kupitia NACTE central admission system? nimechaguliwa chuo cha private kupitia mfumo wa pamoja wa udahili NOAS ila sijakipenda chuo nilichochaguliwa! msaada wa ushauri wenu ni muhimu kwangu ktk kufanikisha hili.Ahsanten!