Nyota ya kuigiza xDogo Hilo tatizo sio lako peke yako, kwamfano binafsi nashiriki kupiga mazoezi ya aina mbali mbali lakini bado everyday zinasumbua, nina kazi na familia lakini everyday ngono imetawala kichwa changu
Dogo ukimwi unakunyemeleaNi mwezi umepita natamani kila siku nifanye tendo la ndoa nimemaliza mtaa wote nikiwa na happy Najua labda itaisha lakini matokeo co
Aaaaaaiyaaa!! Nouma Nouma Nouma Nouma sanaNyota ya kuigiza x
Nunua nguruwe jike ili hamu ikizidi nenda kagonge tu freely, no condom,no kuitwa baby, no cost.Ni mwezi umepita natamani kila siku nifanye tendo la ndoa nimemaliza mtaa wote nikiwa na happy Najua labda itaisha lakini matokeo co
Ha ha ha! Mkuu Utawauwa watu kwa vichekouna nyota ya UKIMWI asee
Umempa ushauri mzuri sana mkuuNJOO KWA YESU
Shetani anakusumbua rudi kwa YesuDogo Hilo tatizo sio lako peke yako, kwamfano binafsi nashiriki kupiga mazoezi ya aina mbali mbali lakini bado everyday zinasumbua, nina kazi na familia lakini everyday ngono imetawala kichwa changu
Hakika umempa ushauri maridhawa.Tembelea wodi za waathirika zilizo karibu nawe nakuhakikishia kibamia chako kitalala doro mpaka sherehe za uhuru zijazo.
Labda mapangaboi, lakini sio mapepo. mbona nipo vizuri na nafanyakazi kama wengine, tatizo ni kwamba naamini Kuna baadhi ya wanaume kama mimi tuna hormone nyingi ambazo huchochea wingi wa matamanio miilini mwetu.Hayo ni Mapepo
Sio kww Tanzania niijuayo mimiNyota ya kuigiza x
Huyo Yesu yuko wapi? Namsubiri arudi kwanzaShetani anakusumbua rudi kwa Yesu
Kama kuna akina kaoge hata hili litawezekana mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]Sio kww Tanzania niijuayo mimi