GREGO
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 4,279
- 2,921
Nyota ya kuigiza xDogo Hilo tatizo sio lako peke yako, kwamfano binafsi nashiriki kupiga mazoezi ya aina mbali mbali lakini bado everyday zinasumbua, nina kazi na familia lakini everyday ngono imetawala kichwa changu