kikwambi Member Joined Jun 30, 2016 Posts 92 Reaction score 31 May 12, 2017 #81 Ngono kuitawala akili kunatokana na kuangalia picha na video za ngono pamoja na kupiga punyeto. Tabia hzi uzalisha hormone ijulikanayo km DOPAMINE kwa mwingi kwenye ubongo kitu ambacho kinafanya ubongo kutawaliwa na fikra za ngono.
Ngono kuitawala akili kunatokana na kuangalia picha na video za ngono pamoja na kupiga punyeto. Tabia hzi uzalisha hormone ijulikanayo km DOPAMINE kwa mwingi kwenye ubongo kitu ambacho kinafanya ubongo kutawaliwa na fikra za ngono.