Ngono kuitawala akili kunatokana na kuangalia picha na video za ngono pamoja na kupiga punyeto. Tabia hzi uzalisha hormone ijulikanayo km DOPAMINE kwa mwingi kwenye ubongo kitu ambacho kinafanya ubongo kutawaliwa na fikra za ngono.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.