Nifanyeje kupunguza hamu ya ngono?

Nifanyeje kupunguza hamu ya ngono?

McCain

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2016
Posts
1,169
Reaction score
517
Ni mwezi umepita natamani kila siku nifanye tendo la ndoa nimemaliza mtaa wote nikiwa na happy Najua labda itaisha lakini matokeo co
 
Fikria kuwa wewe kwa sasa ni masikini, unatakiwa uwe na nyumba yako, gari lako, familia bora na kusaidia wengine, hivyo vi ny.ege uch.wa.ra vitakuisha tu, pia Fanya mazoezi makini kama martial arts, n.k.
Kuwa na mpenzi mmoja tu.
 
Aiseee yan wengine tupo tunakimbizana na kasi wewe bado unawaza ngono. Naona bado hujaisoma namba. Siku ukiisoma sidhan kama utawaza ngono .
 
Dogo Hilo tatizo sio lako peke yako, kwamfano binafsi nashiriki kupiga mazoezi ya aina mbali mbali lakini bado everyday zinasumbua, nina kazi na familia lakini everyday ngono imetawala kichwa changu
 
Back
Top Bottom