Nifanyeje kuuza wazo la mradi

Nifanyeje kuuza wazo la mradi

IPILIMO

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
1,819
Reaction score
801
Nina wazo zuri tu la mradi. Lengo ni kuliuza kwa halmashauri za miji au majiji. Wao ndio wanaweza kulitekeleza vizuri kwa faida ya wananchi na wao wenyewe. Tatizo ni nikiwadokeza bila kujiwekea taratibu jinsi nitakavyo faidika na idea hiyo, nina hakika idea yangu itafanyiwa kazi na wataalam wa halmashauri hasa wachumi. Ninayo concept yake ila sija andika proposal kwakuwa nataka nitafute utaratibu kama independent consultant on project planning and writing, ili nitoe concept kisha niwa andikie detailed proposal.

Nimejaribu kumwona rafiki yangu ambaye ni mchumi wa halmashauri fulani, nikampa hii ya concept idea, akaikubali sana, lakini akanishauri nifungue kampuni ya consultancy, then anitafutie utaratibu maana nikimpelekea mchumi yeyote au mkurugenzi au meya lazima atatafuta sifa kwa kuwaagiza watendaji- wataalamu waifanyie kazi idea kisha mradi uanze kazi, na sitalipwa kabisa!

Je kuna mtu wa kuniongezea cha kufanya?
 
fanyia kazi huo ushauri, huo mradi ndo utakutoa kimaisha.
 
Mkuu fanya kama ulivyoelekezwa na rafikiyo la siyyo yatakukuta majanga yaliyompata mheshimiwa mbunge sugu kwenye wazolake la kampeni ya malaria alivyozungukwa kimkuti mkuti shauriro nakuonya mapema kabla ya hatari
nina wazo zuri tu la mradi. Lengo ni kuliuza kwa halmashauri za miji au majiji. Wao ndio wanaweza kulitekeleza vizuri kwa faida ya wananchi na wao wenyewe. Tatizo ni nikiwadokeza bila kujiwekea taratibu jinsi nitakavyo faidika na idea hiyo, nina hakika idea yangu itafanyiwa kazi na wataalam wa halmashauri hasa wachumi. Ninayo concept yake ila sija andika proposal kwakuwa nataka nitafute utaratibu kama independent consultant on project planning and writing, ili nitoe concept kisha niwa andikie detailed proposal.

Back
Top Bottom