Nifanyeje kuzuia msingi wa nyumba yangu usiingie maji?

Nifanyeje kuzuia msingi wa nyumba yangu usiingie maji?

Kwanza maji yanatoka wapi china au ni maji ya kutuama ya mvua , kama unajenga kipindi hiki akuna namna lazima yatuame
 
Nataka nijenge sasa nimechimba msingi lakini umejaa maji. Nitumie njia gani ili nijenge msingi na usipate madhara.
Tumia simenti chapa nyani halafu changanya na majivu kidogo! Utakuja kunishukuru siku nyumba imedodoka.
 
Mwezi wa 4 naingia likizo
Kwa mwenye kuhitaji kutembelewa katika eneo lake, kukagua na kutoa ushauri juu ya tatizo lolote, kuwa huru kunijuza.

Gharama : Huduma hii ni bure
Usafiri : ndiyo pekee utagharamia.
 
Back
Top Bottom