M Magezi bugaga JF-Expert Member Joined Jul 7, 2021 Posts 1,181 Reaction score 1,594 Mar 21, 2024 #21 Kwanza maji yanatoka wapi china au ni maji ya kutuama ya mvua , kama unajenga kipindi hiki akuna namna lazima yatuame
Kwanza maji yanatoka wapi china au ni maji ya kutuama ya mvua , kama unajenga kipindi hiki akuna namna lazima yatuame
B bCg JF-Expert Member Joined Jan 16, 2014 Posts 438 Reaction score 900 Mar 21, 2024 #22 moshi jr 01 said: Nataka nijenge sasa nimechimba msingi lakini umejaa maji. Nitumie njia gani ili nijenge msingi na usipate madhara. Click to expand... Tumia simenti chapa nyani halafu changanya na majivu kidogo! Utakuja kunishukuru siku nyumba imedodoka.
moshi jr 01 said: Nataka nijenge sasa nimechimba msingi lakini umejaa maji. Nitumie njia gani ili nijenge msingi na usipate madhara. Click to expand... Tumia simenti chapa nyani halafu changanya na majivu kidogo! Utakuja kunishukuru siku nyumba imedodoka.
greater than JF-Expert Member Joined Sep 22, 2018 Posts 1,653 Reaction score 3,060 Mar 23, 2024 #23 Mwezi wa 4 naingia likizo Kwa mwenye kuhitaji kutembelewa katika eneo lake, kukagua na kutoa ushauri juu ya tatizo lolote, kuwa huru kunijuza. Gharama : Huduma hii ni bure Usafiri : ndiyo pekee utagharamia.
Mwezi wa 4 naingia likizo Kwa mwenye kuhitaji kutembelewa katika eneo lake, kukagua na kutoa ushauri juu ya tatizo lolote, kuwa huru kunijuza. Gharama : Huduma hii ni bure Usafiri : ndiyo pekee utagharamia.