Nifanyeje kwenye hili??

Nifanyeje kwenye hili??

Screenshot_20241029_093154_Samsung Internet.jpg
 
Hii app ya academic inaonekn ipo vizur sana lakini ni llama shule itself elim kwa walim namn ya kuitumia chuon naamin walim lazim wanasomq computer hata basic
 
Ni sahihi lakin kuna njia rahis mnoo ambayo u just need 10 minutes kuandaa taarifa na report na mikeka ya matokea kwa darasa la watoro 300 ndani ya dakika 10 tu.
Ukishaweka scores basi, academiazSoft itakuandalia instantly
  • Report
  • mikeka
  • unaweza tuma message za matokea kwa email na SMS
  • unaweza tuma report kupitia simu ya mkononi hata kama mzazi hana smart phone
Na mengine mengi mnoo
Umeelewa kinachojadiliwa?
 
Hii app ya academic inaonekn ipo vizur sana lakini ni llama shule itself elim kwa walim namn ya kuitumia chuon naamin walim lazim wanasomq computer hata basic
Ni rahis sana kuitumia kaka, na tuna fanya training bure kabisaa kwa staff maana unaweza itumia hata kwa simu yako tu
 
View attachment 3137916
Mbona limekaa km tangazo la biashara? Weka na bei km unauza na pia kumbuka kulilipia tangazo lako ili jf nayo ifaidike....
 
Hapo ni lazima awe anajaza kila tokeo linapotoka liwe la test, mid-term au annual yawepo kwenye excel sheet. Kazi yake iwe kujaza tu. anapo rundika lazima mzigo uwe mkubwa
 
Mbona limekaa km tangazo la biashara? Weka na bei km unauza na pia kumbuka kulilipia tangazo lako ili jf nayo ifaidike....
Karibu na hii ni biashara exactly mkuu wangu.
Kwa maelezo zaidi waweza kutupigia
0654 238 234
Au unaweza tembelea ofisi zetu zilizopo Posta na kigamboni
 
Hapo ni lazima awe anajaza kila tokeo linapotoka liwe la test, mid-term au annual yawepo kwenye excel sheet. Kazi yake iwe kujaza tu. anapo rundika lazima mzigo uwe mkubwa
Kabisa.
 
Nadhani kwa ushauri wizara husika ingetengeneza mfumo wa Tehama kwa ajili ya shule za msingi na secondari mfumo huu uwezeshe waalimu kurahisisha kazi zao ikiwemo:-
1. Manunuzi na bajeti
2. Kuandaa andalio la somo
3. Mahudhurio ya waalimu na wanafunzi shuleni
4. Kuchakata matokeo.
5. Mapato, matumizi
na usomani na mifumo kama vile wa Necta.
Na mengineyo
Haiwezekani kwenye ulimwengu wa sasa andalio la somo kwa mfano bado wanaenda kwa peni kwenye lile daftari la andalio la somo
Sio solution
 
A lot of picture/OCR images to excel converter apps In play and apple stores. They can convert the handwriting or typed writings to excel/csv formats pretty easily.
Nisaidie jina au link ya kupata hiyo app kama utaweza tafadhali
 
Back
Top Bottom