Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaishi wapi? Kama uko Dar nenda Ekenywa Dispensari ya Marehemu Dr Ole utakutana na ENT Specilist watakupa msaada.Jana mida ya sa nane mchana maji yaliniingia sikioni.
Mpaka sasa sikio moja la kulia limeziba.
Naombeni msaada nifanye nini ili maji yatoke nirudi kwenye hali angu ya kawaida?
Lipia tangazo mkuuUnaishi wapi? Kama uko Dar nenda Ekenywa Dispensari ya Marehemu Dr Ole utakutana na ENT Specilist watakupa msaada.
Dispensari hiyo iko Magomeni Mwembe chai karibu na Shehe Tabata ni ya Ghorofa kama tano au sita hivi.
Ametoa maelekezo ya wapi anaweza kupata msaada, na sio Tangazo, na msaada aliomwelekeza ni wa kitaalamu, naheshimu mawazo ya wengine kwa kua yametokana na uzoefu wao, ila ni kubahatisha na unaweza usijue kuna uharibifu gani unaweza tokea kutokana na usalama mdogo wa njia husika ktk kutatua tatizo lakoLipia tangazo mkuu
Asante mkuuLipia tangazo mkuu