Nifanyeje? Mama Ntilie ni mcheshi sana kupitiliza kwangu

Django Doer

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2023
Posts
2,865
Reaction score
5,184
Habari wana JF mimi ni mwanaume mtu mzima wa miaka 29 kazi yangu kubwa nimejiajiri kwenye mambo fulani fulani hivyo nafanya kazi home (nilipopanga).

Iko hivi kuna sehemu(mgahawa) huwa ninakula daily chakula cha mchana na usiku hapo . Hii ni baada ya Nourhan kugoma kunipa location ya anapouza chakula chake jijini hapa dsm. Sehemu hiyo ninayokula ina wahudumu mbali mbali lakini mkuu wa hapo ni mbibi na wahudumu ni vidada mbali mbali kama 3 wanaofanya kazi kwa round tofauti.

Kati ya hao wahudumu wa 3, wa 2 wameolewa 1 ana mtoto ila sijawahi kuona baba mtoto wake ndo huyo anayekuwa mcheshi sana kwangu hadi nimeshtuka 🤔.

Jana nilitoka nikasepa town kufuatilia ishu zangu hivyo mchana na usiku sikula pale ambayo sio kawaida yangu. leo nimeenda mchana akaanza kucheka na kunichangamkia na kuniuliza mbona jana sikuwepo nilikuwa wapi na mambo kibao nikamjibu tu kiutani utani basi ikatoka hiyo

Kuna siku tulikutana mjini kama wapita njia akaanza kucheka kinoma mmmh mi nilishtuka lakini sikuonyesha ila nilishangaa tu kwanini anicheke kiasi kile basi kila mtu akaenda zake.

Sasa hii tabia yake inaninyegesha sana wakuu mfano nimekuwa nikimuwazia ngono na mambo ya kitandani muda wote yaani hapa nafikiria tu nikimtongoza akakubali alafu kwenye 6 * 6 sijui itakuwaje.

Pamoja na hayo wateja wengine anawachamgamkia ila mimi ni zaidi.

N.b wakuu naombeni mawazo yenu kati ya haya

1. Kwa sababu ana viashiria vya singo maza anataka mwanaume mjinga anase kwake ili ampige kizinga?

2. Ni tabia yake tu kuchekeachekea wanaume?

3. Ana kiumalaya?

4. Ametokea kunikubali na anataka nimtafune

Naombeni majibu na mawazo yenu wakuu
 
Naona DIAPERS unataka kuzivalia ukubwani Kwa kuwa utotoni mwako zilikuwa bado hazijaja
 
kuna vitu sita ambavyo ni chukizo kwake Mungu, yafikie maneno haya uepukane nayo. kwanza ni macho ya kiburi,pili ulimi wa uongo, tatu mikono imwagayo damu isiyo na hatia, moyo uwazao mabaya, miguu iliyo miepesi kukimbilia maovu, mashahidi wa uongo.

kwa leo tuanze na icho cha "moyo uwazao mabaya". shetani huwa anawaingia wengi sana kwa njia ya mawazo machafu. unaweza kujikuta ulikuwa fresh tu ukaanza kumkumbuka mwanamke mmoja, mfanyakazi wako au mwenzio, au yeyote umekutana naye, ukamtafakari kwa kumtamani, ukajikuta unatamani kuzini naye, umeshamweka kichwani. Jua kuwa, hiyo ni njia ya shetani, ni shetani huyo. ukiona mawazo kama haya kwako wewe uliyeokoka kemea yaondoka, shetani huyo, anataka aingie kwako afanye uharibifu. kwako wewe usiyeokoka huna kinga, atakuingia ndio maana mnawaza uzinzi all the time. hata hapo umeshazini naye moyoni mwako tayari, kilichobaki ni kwenda kumalizia kupata gono, UTI na ngoma. ila uzinzi naye shetani ameshakuzinisha.
 
IMG-20240701-WA2028.jpg
 
Kama akikutana na wewe anaanza tu kucheka cheka hovyo without any reason basi mchunguze huenda akawa na tatizo la afya ya akili ana haujui.

Kama ukiwa unaongea naye, anytime ana smile basi hiyo ni mojawapo ya huduma bora kwa mteja kwa sababu itakuvutia kila siku urudi kwenda kula pale,, hivyo basi punguza nyege mshindo mkuu 😎
 
Habari wana JF mimi ni mwanaume mtu mzima wa miaka 29 kazi yangu kubwa nimejiajiri kwenye mambo fulani fulani hivyo nafanya kazi home (nilipopanga).

Iko hivi kuna sehemu(mgahawa) huwa ninakula daily chakula cha mchana na usiku hapo . Hii ni baada ya Nourhan kugoma kunipa location ya anapouza chakula chake jijini hapa dsm. Sehemu hiyo ninayokula ina wahudumu mbali mbali lakini mkuu wa hapo ni mbibi na wahudumu ni vidada mbali mbali kama 3 wanaofanya kazi kwa round tofauti.

Kati ya hao wahudumu wa 3, wa 2 wameolewa 1 ana mtoto ila sijawahi kuona baba mtoto wake ndo huyo anayekuwa mcheshi sana kwangu hadi nimeshtuka 🤔.

Jana nilitoka nikasepa town kufuatilia ishu zangu hivyo mchana na usiku sikula pale ambayo sio kawaida yangu. leo nimeenda mchana akaanza kucheka na kunichangamkia na kuniuliza mbona jana sikuwepo nilikuwa wapi na mambo kibao nikamjibu tu kiutani utani basi ikatoka hiyo

Kuna siku tulikutana mjini kama wapita njia akaanza kucheka kinoma mmmh mi nilishtuka lakini sikuonyesha ila nilishangaa tu kwanini anicheke kiasi kile basi kila mtu akaenda zake.

Sasa hii tabia yake inaninyegesha sana wakuu mfano nimekuwa nikimuwazia ngono na mambo ya kitandani muda wote yaani hapa nafikiria tu nikimtongoza akakubali alafu kwenye 6 * 6 sijui itakuwaje.

Pamoja na hayo wateja wengine anawachamgamkia ila mimi ni zaidi.

N.b wakuu naombeni mawazo yenu kati ya haya

1. Kwa sababu ana viashiria vya singo maza anataka mwanaume mjinga anase kwake ili ampige kizinga?

2. Ni tabia yake tu kuchekeachekea wanaume?

3. Ana kiumalaya?

4. Ametokea kunikubali na anataka nimtafune

Naombeni majibu na mawazo yenu wakuu
Miaka 29 lakini akili kama za Mwanaume wa miaka 19...Grow up Man
 
kuna vitu sita ambavyo ni chukizo kwake Mungu, yafikie maneno haya uepukane nayo. kwanza ni macho ya kiburi,pili ulimi wa uongo, tatu mikono imwagayo damu isiyo na hatia, moyo uwazao mabaya, miguu iliyo miepesi kukimbilia maovu, mashahidi wa uongo.

kwa leo tuanze na icho cha "moyo uwazao mabaya". shetani huwa anawaingia wengi sana kwa njia ya mawazo machafu. unaweza kujikuta ulikuwa fresh tu ukaanza kumkumbuka mwanamke mmoja, mfanyakazi wako au mwenzio, au yeyote umekutana naye, ukamtafakari kwa kumtamani, ukajikuta unatamani kuzini naye, umeshamweka kichwani. Jua kuwa, hiyo ni njia ya shetani, ni shetani huyo. ukiona mawazo kama haya kwako wewe uliyeokoka kemea yaondoka, shetani huyo, anataka aingie kwako afanye uharibifu. kwako wewe usiyeokoka huna kinga, atakuingia ndio maana mnawaza uzinzi all the time. hata hapo umeshazini naye moyoni mwako tayari, kilichobaki ni kwenda kumalizia kupata gono, UTI na ngoma. ila uzinzi naye shetani ameshakuzinisha.
Hivi shetani yupoje?
Labda ni mweusi au mweupe?
Nasikia sana habari ya shetani lakini sielewi yupoje?
 
Back
Top Bottom