Nifanyeje? Mama Ntilie ni mcheshi sana kupitiliza kwangu

Habari wana JF mimi ni mwanaume mtu mzima wa miaka 29 kazi yangu kubwa nimejiajiri kwenye mambo fulani fulani hivyo nafanya kazi home (nilipopanga). Iko hivi kuna sehemu(mgahawa) huwa ninakula daily chakula cha mchana na usiku hapo . Hii ni baada ya Nourhan kugoma kunipa location ya anapouza chakula chake jijini hapa dsm. Sehemu hiyo ninayokula ina wahudumu mbali mbali lakini mkuu wa hapo ni mbibi na wahudumu ni vidada mbali mbali kama 3 wanaofanya kazi kwa round tofauti. Kati ya hao wahudumu wa 3, wa 2 wameolewa 1 ana mtoto ila sijawahi kuona baba mtoto wake ndo huyo anayekuwa mcheshi sana kwangu hadi nimeshtuka 🤔. Jana nilitoka nikasepa town kufuatilia ishu zangu hivyo mchana na usiku sikula pale ambayo sio kawaida yangu. leo nimeenda mchana akaanza kucheka na kunichangamkia na kuniuliza mbona jana sikuwepo nilikuwa wapi na mambo kibao nikamjibu tu kiutani utani basi ikatoka hiyo Kuna siku tulikutana mjini kama wapita njia akaanza kucheka kinoma mmmh mi nilishtuka lakini sikuonyesha ila nilishangaa tu kwanini anicheke kiasi kile basi kila mtu akaenda zake. Sasa hii tabia yake inaninyegesha sana wakuu mfano nimekuwa nikimuwazia ngono na mambo ya kitandani muda wote yaani hapa nafikiria tu nikimtongoza akakubali alafu kwenye 6 * 6 sijui itakuwaje. Pamoja na hayo wateja wengine anawachamgamkia ila mimi ni zaidi. N.b wakuu naombeni mawazo yenu kati ya haya 1. Kwa sababu ana viashiria vya singo maza anataka mwanaume mjinga anase kwake ili ampige kizinga? 2. Ni tabia yake tu kuchekeachekea wanaume? 3. Ana kiumalaya? 4. Ametokea kunikubali na anataka nimtafune Naombeni majibu na mawazo yenu wakuu

Habari wana JF mimi ni mwanaume mtu mzima wa miaka 29 kazi yangu kubwa nimejiajiri kwenye mambo fulani fulani hivyo nafanya kazi home (nilipopanga).

Iko hivi kuna sehemu(mgahawa) huwa ninakula daily chakula cha mchana na usiku hapo . Hii ni baada ya Nourhan kugoma kunipa location ya anapouza chakula chake jijini hapa dsm. Sehemu hiyo ninayokula ina wahudumu mbali mbali lakini mkuu wa hapo ni mbibi na wahudumu ni vidada mbali mbali kama 3 wanaofanya kazi kwa round tofauti.

Kati ya hao wahudumu wa 3, wa 2 wameolewa 1 ana mtoto ila sijawahi kuona baba mtoto wake ndo huyo anayekuwa mcheshi sana kwangu hadi nimeshtuka 🤔.

Jana nilitoka nikasepa town kufuatilia ishu zangu hivyo mchana na usiku sikula pale ambayo sio kawaida yangu. leo nimeenda mchana akaanza kucheka na kunichangamkia na kuniuliza mbona jana sikuwepo nilikuwa wapi na mambo kibao nikamjibu tu kiutani utani basi ikatoka hiyo

Kuna siku tulikutana mjini kama wapita njia akaanza kucheka kinoma mmmh mi nilishtuka lakini sikuonyesha ila nilishangaa tu kwanini anicheke kiasi kile basi kila mtu akaenda zake.

Sasa hii tabia yake inaninyegesha sana wakuu mfano nimekuwa nikimuwazia ngono na mambo ya kitandani muda wote yaani hapa nafikiria tu nikimtongoza akakubali alafu kwenye 6 * 6 sijui itakuwaje.

Pamoja na hayo wateja wengine anawachamgamkia ila mimi ni zaidi.

N.b wakuu naombeni mawazo yenu kati ya haya

1. Kwa sababu ana viashiria vya singo maza anataka mwanaume mjinga anase kwake ili ampige kizinga?

2. Ni tabia yake tu kuchekeachekea wanaume?

3. Ana kiumalaya?

4. Ametokea kunikubali na anataka nimtafune

Naombeni majibu na mawazo yenu wakuu
...mimi ni mwanaume mtu mzima wa miaka 29...
Sasa mbona unauliza maswali ya mtoto wa form two.
Hayo maswali ukienda mchana huu kula muulize huyo mwanamke
 
Kwanza mie siuzi chakula kila siku nauza Biryani Ijumaa tu kama chanzo changu kingine cha kuniongezea kipato.

Pili nilikukayaa mteja wewe sababu hauna nidhamu toka account yako ya Yenbe34 waniaumbua ulipo pigwa banned 🚫 nikashukuru utoto baleghe vinakusumbua japo unasema una miaka 29 basi unasumbuliwa na Sonona unahitaji Self-love.

Huwezi kuni add group Gily ambae naheshimiana nae na kuanza kuongea upuuzi wako ilihali nilishakuambia na mume wangu ndoa yangu above all na heshima yangu binafsi na msatari huuchora sitaki mtu auvuke.

Nikajua umenielewa ukaniadd group na Cocastic ukaanza kusema sijui unataka sijui utusugue haitoshi ukatuma mapicha yako ya uume wako hivi mtu kama wewe uwe mteja wangu si utaniletea hekaheka maishani Kwa kweli hapana sijakupiga block nimeambiwa una matatizo ndo maana sijablock sijui unapitia nini.
 
Sawa dogo sasa ipo hivi jifunze kutokuchukulia serious sana wanawake mana ni watu wa hisia sana muda mwingine unaweza dhania kakupenda kumbe ni attention ya wakati huo tu siku ukijichanganya ukidhani kafa kaoza kwako ukapigwa na kitu kizito usije rudi hapa uwa hormoozinapanda wakati mwingne kiasi ukadhani uyu wa maisha kumbe walaa jifunze kuwapuuza hawa viumbe wakati mwingne na kama unaona yupo moto hiyo siku ni swala lakumalizana nae siku hiyohiyo na kaa nae kando usome mchezo je unaendeleaje akikuzingia umewin akiendeleza nawe lienxeleze ila akili kichwani ila kinga muhimu na umakini acha kuleta uzi kama huu siku nyingine.
 
Ok
 
Kwanza mie siuzi chakula kila siku nauza Biryani Ijumaa tu kama chanzo changu kingine cha kuniongezea kipato.

Pili nilikukayaa mteja wewe sababu hauna nidhamu toka account yako ya Yenbe34 waniaumbua ulipo pigwa banned 🚫 nikashukuru utoto baleghe vinakusumbua japo unasema una miaka 29 basi unasumbuliwa na Sonona unahitaji Self-love.

Huwezi kuni add group Gily ambae naheshimiana nae na kuanza kuongea upuuzi wako ilihali nilishakuambia na mume wangu ndoa yangu above all na heshima yangu binafsi na msatari huuchora sitaki mtu auvuke.

Nikajua umenielewa ukaniadd group na Cocastic ukaanza kusema sijui unataka sijui utusugue haitoshi ukatuma mapicha yako ya uume wako hivi mtu kama wewe uwe mteja wangu si utaniletea hekaheka maishani Kwa kweli hapana sijakupiga block nimeambiwa una matatizo ndo maana sijablock sijui unapitia nini.
😀😀😀 Daah mbona essay tena hii.
Mambo ya pm tuyaache huko huko mammy
Gily Gru
 
Kwanza mie siuzi chakula kila siku nauza Biryani Ijumaa tu kama chanzo changu kingine cha kuniongezea kipato.

Pili nilikukayaa mteja wewe sababu hauna nidhamu toka account yako ya Yenbe34 waniaumbua ulipo pigwa banned [emoji724] nikashukuru utoto baleghe vinakusumbua japo unasema una miaka 29 basi unasumbuliwa na Sonona unahitaji Self-love.

Huwezi kuni add group Gily ambae naheshimiana nae na kuanza kuongea upuuzi wako ilihali nilishakuambia na mume wangu ndoa yangu above all na heshima yangu binafsi na msatari huuchora sitaki mtu auvuke.

Nikajua umenielewa ukaniadd group na Cocastic ukaanza kusema sijui unataka sijui utusugue haitoshi ukatuma mapicha yako ya uume wako hivi mtu kama wewe uwe mteja wangu si utaniletea hekaheka maishani Kwa kweli hapana sijakupiga block nimeambiwa una matatizo ndo maana sijablock sijui unapitia nini.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniiii nimecbekaa had bas, afu sasa bora awe na uume wa maana, kijojoro chenyewe hata mtoto wa chekechea hakimstuii.

Huyu ana matatizo sio bureee, kutwaa kuja PM za watu kusumbua, sijui huko aliko wasichana wanamkataaa, anakeraaa sanaa mxxxxiiiiiieeeeew.
 
Dogo Jiheshimu! 😀
 
Boxer bei rahisi vuzi kipipili kapauka kende hapaki hata mafuta 😂🤣atamtaka nani akwende huko nyoka kifutu sio type zangu hizo sifa moja kwa mwanaume ni usafi nje ndani awe smart
 
Kwanza mie siuzi chakula kila siku nauza Biryani Ijumaa tu kama chanzo changu kingine cha kuniongezea kipato.

Pili nilikukayaa mteja wewe sababu hauna nidhamu toka account yako ya Yenbe34 waniaumbua ulipo pigwa banned 🚫 nikashukuru utoto baleghe vinakusumbua japo unasema una miaka 29 basi unasumbuliwa na Sonona unahitaji Self-love.

Huwezi kuni add group Gily ambae naheshimiana nae na kuanza kuongea upuuzi wako ilihali nilishakuambia na mume wangu ndoa yangu above all na heshima yangu binafsi na msatari huuchora sitaki mtu auvuke.

Nikajua umenielewa ukaniadd group na Cocastic ukaanza kusema sijui unataka sijui utusugue haitoshi ukatuma mapicha yako ya uume wako hivi mtu kama wewe uwe mteja wangu si utaniletea hekaheka maishani Kwa kweli hapana sijakupiga block nimeambiwa una matatizo ndo maana sijablock sijui unapitia nini.
Kumbe ni kizee cha ovyo* Fake P kabla haujafika ofc* soma hapa
 
Back
Top Bottom