Nifanyeje? Mama Ntilie ni mcheshi sana kupitiliza kwangu

Na wewe mchekee...
 
29 yrs na haujui kuasses mwanamke hadi uje kufungua mjadala Jf?

Ninakupa mfano unaofanana na issue yako.

'Unapoenda kuazima shoka kwa jirani na ukakuta wanakula kisha wakakukaribisha mlo, isithubutu kunawa na kuanza kula kabla haujaeleza shida ilokupeleka hapo'.

'Ukianza kuchochea matonge bila kueleza shida, awezatokeza mtu mwingine mwenye shida kama yako akaazimishwa shoka, wewe ukaambulia kulosa na ukakosa jambo la muhimu lililokupeleka pale'.

Mpaka kuleta stori hapa tayari ushachelewa, waweza kukuta kesho ashabadili msimamo au kapata mwingine.

Mwanamke kujichekeleza kwako kunamaanisha 'kutega' kwa jambo lolote alilolidhamiria kichwani mwake, iwe kupenda, iwe kudanga, iwe kutapeli, iwe ni kukuvuta kibiashara, iwe ni kukudhuru nk, sababu zipo nyingi.

Mwanamme yeyote mjanja, alitakiwa amtongoze siku ya kwanza tu aliyoanza kuonesha tabasamu lake pana ili amuelewe mtego wake umesimamia lengo lipi.

Hauhitaji kwenda kozi ama semina kuasses ili kuzielewa sifa na tabia za mwamke kabla haujaingia kichwa kichwa
 
Shukran
 
Mwanaume miaka 29😁!
 
Muwe mnakuwa watu wazima jamani mbona hivi bandeko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…