Nifanyeje? Mama Ntilie ni mcheshi sana kupitiliza kwangu


...mimi ni mwanaume mtu mzima wa miaka 29...
Sasa mbona unauliza maswali ya mtoto wa form two.
Hayo maswali ukienda mchana huu kula muulize huyo mwanamke
 
Kwanza mie siuzi chakula kila siku nauza Biryani Ijumaa tu kama chanzo changu kingine cha kuniongezea kipato.

Pili nilikukayaa mteja wewe sababu hauna nidhamu toka account yako ya Yenbe34 waniaumbua ulipo pigwa banned 🚫 nikashukuru utoto baleghe vinakusumbua japo unasema una miaka 29 basi unasumbuliwa na Sonona unahitaji Self-love.

Huwezi kuni add group Gily ambae naheshimiana nae na kuanza kuongea upuuzi wako ilihali nilishakuambia na mume wangu ndoa yangu above all na heshima yangu binafsi na msatari huuchora sitaki mtu auvuke.

Nikajua umenielewa ukaniadd group na Cocastic ukaanza kusema sijui unataka sijui utusugue haitoshi ukatuma mapicha yako ya uume wako hivi mtu kama wewe uwe mteja wangu si utaniletea hekaheka maishani Kwa kweli hapana sijakupiga block nimeambiwa una matatizo ndo maana sijablock sijui unapitia nini.
 
Sawa dogo sasa ipo hivi jifunze kutokuchukulia serious sana wanawake mana ni watu wa hisia sana muda mwingine unaweza dhania kakupenda kumbe ni attention ya wakati huo tu siku ukijichanganya ukidhani kafa kaoza kwako ukapigwa na kitu kizito usije rudi hapa uwa hormoozinapanda wakati mwingne kiasi ukadhani uyu wa maisha kumbe walaa jifunze kuwapuuza hawa viumbe wakati mwingne na kama unaona yupo moto hiyo siku ni swala lakumalizana nae siku hiyohiyo na kaa nae kando usome mchezo je unaendeleaje akikuzingia umewin akiendeleza nawe lienxeleze ila akili kichwani ila kinga muhimu na umakini acha kuleta uzi kama huu siku nyingine.
 
Ok
 
😀😀😀 Daah mbona essay tena hii.
Mambo ya pm tuyaache huko huko mammy
Gily Gru
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniiii nimecbekaa had bas, afu sasa bora awe na uume wa maana, kijojoro chenyewe hata mtoto wa chekechea hakimstuii.

Huyu ana matatizo sio bureee, kutwaa kuja PM za watu kusumbua, sijui huko aliko wasichana wanamkataaa, anakeraaa sanaa mxxxxiiiiiieeeeew.
 
Dogo Jiheshimu! 😀
 
Boxer bei rahisi vuzi kipipili kapauka kende hapaki hata mafuta 😂🤣atamtaka nani akwende huko nyoka kifutu sio type zangu hizo sifa moja kwa mwanaume ni usafi nje ndani awe smart
 
Kumbe ni kizee cha ovyo* Fake P kabla haujafika ofc* soma hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…