Nifanyeje meno yangu yang'ae?

xady

Member
Joined
Mar 5, 2014
Posts
37
Reaction score
19
Ndugu wana jf naomba msaada wenu meno yakiwa naunjano mtu atumie nini ili kuyafanya yawe meupe? Msaada wenu tafadhari.
 
Jaribu kutumia dawa ya meno iitwayo white glo, inapatikana Game Mlimani City ni nzuri.
 
yasugue kwa msasa au kifaa kinachoitwa tupa
 
Pia kama ni njano sana, waweza kwenda hospitali watakusafisha. Sasa kutoka hapo uwe nayo makini kuzingatia upigaji mswaki kama huna muda sana angalau asubuhi na jioni kabla ya kulala. Pia dawa ya mswaki utumiayo.
 
Shida ya nini?? Hebu tafuta nyundo uporomoe yoote hutokaa uulize swali hili. (natania)
Kuna tofauti 2.
Kwanza ni meno yanayo toboka au kulika,
na pili Meno yanyokua Njano.
Swala la njano ni la madini ya eneo ulilopo, na kuoza meno ni usafi binafsi.
AKSANTE.
 
Chukua sigara iwashe usivute iweke kwenye hakuli uwake mpaka iishe then chukua yale majivu changanya na baking pouda weka na maji ya limao pigia asubui mchana jioni ndani ya wiki yatakuwa meupe. Kama karatasi haina madhala hio dawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…