Pia kama ni njano sana, waweza kwenda hospitali watakusafisha. Sasa kutoka hapo uwe nayo makini kuzingatia upigaji mswaki kama huna muda sana angalau asubuhi na jioni kabla ya kulala. Pia dawa ya mswaki utumiayo.
Shida ya nini?? Hebu tafuta nyundo uporomoe yoote hutokaa uulize swali hili. (natania)
Kuna tofauti 2.
Kwanza ni meno yanayo toboka au kulika,
na pili Meno yanyokua Njano.
Swala la njano ni la madini ya eneo ulilopo, na kuoza meno ni usafi binafsi.
AKSANTE.
Chukua sigara iwashe usivute iweke kwenye hakuli uwake mpaka iishe then chukua yale majivu changanya na baking pouda weka na maji ya limao pigia asubui mchana jioni ndani ya wiki yatakuwa meupe. Kama karatasi haina madhala hio dawa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.