Nifanyeje niache ARV?

Nifanyeje niache ARV?

Pumbav.. can you get serious & correct medical advice here..? Esp. to a killer disease like AIDS..? shenzi kabisa, ndio maana FOREPLAN walikuwa wanawalia hela wapuuzi kama ww kwa kuwapa energetic drinks and tablets, mkidhania umetibiwa kumbe umepewa temporary energy tu..
Janga kubwa kabisa duniani ni kuwa na IQ ndogo..!! This is SOCIAL MEDIA..!! period..!! watu wanaangamia kwa kukosa maarifa..!! unauliza huku magonjwa serious tena kuhusu jinsi ya kutumia dawa zake na ushauri..? huku JF..? ur dead walking..!! baadae utataka utibiwe hapa JF..!!

Acha ujinga, unachongea kichwa viduku ww
Comment yako ya mwanzo ndo ilionyesha Ni jinsi gani huna akili kichwani mwako! Humu Kuna wataalam wakutosha, tena wengine Ni Ma doctors mabingwa wa matatizo mbalimbali, Members wa JF Ni watu wenye ujuzi tofauti, ndo maana yakawekwa majukwaa ya Afya, Sheria n.k..........kama Rais Na Mawaziri wake hupita humu Una akili ndogo kiasi gani kushindwa kujua humu unaweza kupata ushauri wa ki afya!!! Wewe ni mjinga kwa kujifanya unajua kila kitu! Ungekaa kimya Tu Na kuacha Wataalam wangemshauri mtoa mada Kama baadhi walivyofanya!
 
Kweli mkuu. Huyu jamaa anaongea pumba tupu yeye kazoea fb kule kuna watoto wenzie. Hajui jf ni zaidi ya UDOM
 
Wana JF!!

Samahani sana, naomba msaada wenu, najua mpo wengi wenye uelewa wa mambo.
Sasa naomba kuelimishwa, pia kwa faida ya wengine wenye matatizo kama yangu.
Nipo hapa kwa niaba ya kaka yangu ambaye alipima na kuonekana ana '' HIV" mwaka 2011 mara moja wakamuanzishia matibabu ya ARV. Hakuwa na shida nyingine, zaidi ya kuwa na constipation..hakuwa anakula vizuri baada ya kufilisika duka lake, akawa anafanya kazi ngumu bila kula vizuri zaidi ya chapati tena zilizokobolewa unga. Kutokana na kudhoofika afya nilimpeleka hospitali na alipopima HIV alionekana HIV+ , lakini cha ajabu mke wake ni HIV- ni muda mrefu sasa.

Sasa huyu kaka yangu pamoja na kuwa anakunywa hizo dawa, naona sasa zinamdhuru hasa ngozi yake inakuwa na spots, ambapo juzi tu wakampa madawa ya TB wakati hana hiyo TB, dawa zikamdhuru hadi mdomo unababuka ngozi. Bado anaendelea na kazi yake ya kilimo cha bustani na pia boda boda, physically hayupo vibaya sana.

Kutokana na elimu niliyoipata humu hasa ile thread ya V.V.U na Upimaji wake, nimegundua huyu bro hana ngoma, ila labda ni lishe bora tu na life style mbovu.
Kwa vile ameshakuwa mhanga wa ARV nifanyeje ili nimuachishe dawa hizo bila kumletea madhara, aweze kurudia hali yake ya kawaida. Naogopa nisije kumshawishi aache akaanza kuumwa nikalaumiwa mimi.

Naomba ushauri kama akiacha ARV atumie nini, ambacho kitamfanya awe Normal?

CC: Kaveli, Deception
mkuu njoo inbox utapata jibu.Uzuri wenyewe wewe ni mwelewa,hivyo sitakuwa na kazi kubwa kukuelezea.Kuna watu walitumia miaka zaidi ya 7 wameacha na wako safi kiafya,itakuwa huyo wa miaka 5 tu?waache wapiga domo waendelee na ujinga wao maana Huwezi kuwaokoa watu wote,lazima wapo watakaobaki kuukumbatia ujinga,pia fahamu kwamba si lazima kila mtu aelewe elimu hii mpya.

Njoo inbox mkuu tufanye mambo,utapata elimu ya bure kabisa.
 
Kweli mkuu. Huyu jamaa anaongea pumba tupu yeye kazoea fb kule kuna watoto wenzie. Hajui jf ni zaidi ya UDOM
Sure mkuu! Watu wengine wanapenda sifa za kijinga! JF imesaidia wengi Sana, Na sote tunaona kila siku, iwe jukwaa la Sheria, Afya n.k........ Sasa mtu anakuja Na kuanika ujinga wake hadharani, hajui kuwa huyo Doctor utayemfata Hospital Na yy Ni member hapa jf... !
 
Shida inayotukuta sisi watanzania siku hizi ni kwamba kila mtu ni daktari ana uwezo wa kutibu na hasa kwa magonjwa haya sugu. Tutapotea tukijiona. Pamoja na yote yaliyoongelewa nakushauri. Nenda hospitali ukapate ushauri wa madaktari ndipo uamue kusuka ama kunyoa.
 
Mimi Naelewa kuwa hizi " drugs" naweza sema ni " A witchcraft embedded in a scientific disguise". Siamini sana katika modern medicine, nafahamu effects zake ni kubwa kuliko ugonjwa naoutibia, japo huko pia zipo dawa za kweli. Wengi wetu tukipata elimu ya kuzuia magonjwa kwa vyakula vinavyotuzunguka, hatutapata magonjwa kirahisi, mimi nina experience hiyo pia, nafahamu namna ya ku zuia ugonjwa kabla haujanizidia, ndo maana tangu 1999 sijaumwa, na ninaishi katika mazingira ambayo magonjwa ni mengi kama maralia, typhoid nk. siri kubwa ipo kwenye life style na vyakula tu. Human body is not weak that way to get diseases.
Nasubiria tu ushauri mzuri kwa wenye experience niweze kumwachisha ARV ndugu yangu, nikifanikiwa narudisha mrejesho humu ndani.
 
Wana JF!!

Samahani sana, naomba msaada wenu, najua mpo wengi wenye uelewa wa mambo.
Sasa naomba kuelimishwa, pia kwa faida ya wengine wenye matatizo kama yangu.
Nipo hapa kwa niaba ya kaka yangu ambaye alipima na kuonekana ana '' HIV" mwaka 2011 mara moja wakamuanzishia matibabu ya ARV. Hakuwa na shida nyingine, zaidi ya kuwa na constipation..hakuwa anakula vizuri baada ya kufilisika duka lake, akawa anafanya kazi ngumu bila kula vizuri zaidi ya chapati tena zilizokobolewa unga. Kutokana na kudhoofika afya nilimpeleka hospitali na alipopima HIV alionekana HIV+ , lakini cha ajabu mke wake ni HIV- ni muda mrefu sasa.

Sasa huyu kaka yangu pamoja na kuwa anakunywa hizo dawa, naona sasa zinamdhuru hasa ngozi yake inakuwa na spots, ambapo juzi tu wakampa madawa ya TB wakati hana hiyo TB, dawa zikamdhuru hadi mdomo unababuka ngozi. Bado anaendelea na kazi yake ya kilimo cha bustani na pia boda boda, physically hayupo vibaya sana.

Kutokana na elimu niliyoipata humu hasa ile thread ya V.V.U na Upimaji wake, nimegundua huyu bro hana ngoma, ila labda ni lishe bora tu na life style mbovu.
Kwa vile ameshakuwa mhanga wa ARV nifanyeje ili nimuachishe dawa hizo bila kumletea madhara, aweze kurudia hali yake ya kawaida. Naogopa nisije kumshawishi aache akaanza kuumwa nikalaumiwa mimi.

Naomba ushauri kama akiacha ARV atumie nini, ambacho kitamfanya awe Normal?

CC: Kaveli, Deception

mbona tatizo dogo tu hilo., dozi yake aendelee nayo na lazima ale vizuri na pia muathirika haruhusiwi kutumia maziwa fresh., mtindi anaruhusiwa.
Ili kurudia hali yake ya zaman pliz mpatie mafuta ya habbat soda kijiko kimoja kutwa mara 3 lkn pia waweza tumia unga wake ukachanganya na asali ukala kutwa mara 3., yan hapo waweza tumia vyote kwa pamoja lakini atumie miez mitatu bila kuharibu ratiba.

Tibalishe ingine yan za hapo juu anatumia huku ukimpatia unga wa mlonge., chukua majan ya mlonge anika chumban pliz usianike juan kwan dawalishe ikipigwa na jua virutubisho vinapotea. ukikauka twanga utamwekea ktk chai., na vyakula vingine hasa vya moto.

Ushahidi upo ni habbat soda bonge moja la tiba kuna mtu alipatwa na kansa akatumia miez mitatu na zaid sa hiv ukimuona huwez amini., mama angu alisumbuliwa na moyo anatoka jasho analowa chapaa kama kamwagiwa maji lakin alhamdulillah jasho halipotena na moyo hauckii ukimfanya vibaya.

Ukumbusho tiba za asili haziliwi kwa wk or 2 wks ni lazima ujitoe kwa hali yyt uzile kwa mda mrefu ndo maana wanasemaga miezi 3.
 
Sijakuelewa mkuu. Kwaiyo akitumia ivyo vitu na dozi ya ARV anaacha au anaendelea nayo?
 
me najua huachi mapema kwanza mpk cku zipite pite kdg ili hyo tibalishe itoshe mwilini
Sawa mkuu nikuelewa. Kwaiyo tibalishe ikishatosha mwilini unaacha kwapamoja au unaacha kidogo kidogo?
 
Hapa naona uwepo wa ARVs bandia unahusika,kwani hali ikoje kwa nchi za wenzetu zilizoendelea?na wao wanapata haya madhara?Kingine ni masharti ya matumizi ya hizo dawa je yanafuatwa kikamilifu?

Hapo kwenye masharti nahisi ndio penyewe hasa. Wagonjwa wengi hawafati masharti, hasa kula vizuri -balanced diet, mazoezi, kulala vizuri, etc. Akinywa dawa anaona amemaliza.
 
Sawa mkuu nikuelewa. Kwaiyo tibalishe ikishatosha mwilini unaacha kwapamoja au unaacha kidogo kidogo?

anaeacha anaacha mazima pale atapoona mda umefika. lakin kama ataacha kweli hizo ARV bas atumie hzo bila kukosa kwa huo mda maana watu wavivu sana kufuata ratiba
 
nmekuona ukifanya mawasiliano na [HASHTAG]#deception[/HASHTAG] najua mambo yatakuwa mazuri,usisahau kutuletea mrejesho.kila lakheri
 
1.Ni kitu gan gan kimekufanya ugundue kua bro wako hana HIV na akat mwanzon alipima akakutwa n HIV+???
2.jaribu kufuatilia kwa umakin ujue kwann alianzishiwa dawa za TB

-wakat anaanza arvs alikua hana dalili yeyote ya UKIMWI, na hio inanipa picha kua wali2mia sifa ya "kinga mwili (cd4 count) kua chini ya 500" (kwa miaka ya nyuma swala la kuanza arvs lilikua linategemea na kigezo kimoja kat ya iv 1.dalili zA ukimwi 2.cd4 count), so, kama kwa ss anapata hizo dalili za ngozi inaweza manisha dawa anazo2mia zimeshindwa kufanya kazi vizur kutokana na sababu mbalimbaki e.g kutokunywa dawa ipasavyo (poor adherence)

Cha kufanya
-mpeleke hospital wafanye vipimo vya wingi wa kinga ya mwili(cd4 count)na wingi wa virusi(viral load) na ikiwezikekana apewe dawa(arvs) za aina tofauti na hio kama atakua na sifa.

Note: usifikirie kumwachisha dawa mgonjwa umless we n mtaalam wa afya

By; khaligraph
 
Wana JF!!

Samahani sana, naomba msaada wenu, najua mpo wengi wenye uelewa wa mambo.
Sasa naomba kuelimishwa, pia kwa faida ya wengine wenye matatizo kama yangu.
Nipo hapa kwa niaba ya kaka yangu ambaye alipima na kuonekana ana '' HIV" mwaka 2011 mara moja wakamuanzishia matibabu ya ARV. Hakuwa na shida nyingine, zaidi ya kuwa na constipation..hakuwa anakula vizuri baada ya kufilisika duka lake, akawa anafanya kazi ngumu bila kula vizuri zaidi ya chapati tena zilizokobolewa unga. Kutokana na kudhoofika afya nilimpeleka hospitali na alipopima HIV alionekana HIV+ , lakini cha ajabu mke wake ni HIV- ni muda mrefu sasa.

Sasa huyu kaka yangu pamoja na kuwa anakunywa hizo dawa, naona sasa zinamdhuru hasa ngozi yake inakuwa na spots, ambapo juzi tu wakampa madawa ya TB wakati hana hiyo TB, dawa zikamdhuru hadi mdomo unababuka ngozi. Bado anaendelea na kazi yake ya kilimo cha bustani na pia boda boda, physically hayupo vibaya sana.

Kutokana na elimu niliyoipata humu hasa ile thread ya V.V.U na Upimaji wake, nimegundua huyu bro hana ngoma, ila labda ni lishe bora tu na life style mbovu.
Kwa vile ameshakuwa mhanga wa ARV nifanyeje ili nimuachishe dawa hizo bila kumletea madhara, aweze kurudia hali yake ya kawaida. Naogopa nisije kumshawishi aache akaanza kuumwa nikalaumiwa mimi.

Naomba ushauri kama akiacha ARV atumie nini, ambacho kitamfanya awe Normal?

CC: Kaveli, Deception
Swala la mwandoa mmoja kua HIV+ na mngne kua HIV negative (discordant couples) linaweza tokea na kuna sababu za kisayansi behind that,so suishangae. Pia kuna cases kadhaa kama hizo
 
USIPENDE KUKARIRI bila kureason,tafuta ukweli kuhusu H.I.V/AIDS DECEPTION!!!

cc [HASHTAG]#kaveli[/HASHTAG] and [HASHTAG]#deception[/HASHTAG]
 
HIV+ afu unasema hana ngoma, atakuwa amelogwa huyo kakako! mpeleke kwa kalumanzila
 
Back
Top Bottom