Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vumilia mkuu mbona ndio mwaka wa pili tuu!Wakuu naombeni mbinu za kuwa mfungwa hukooo kwa mzee Tump kwa muda tajwa maana kama vile pashanichosha
na sasa hivi hata mtu akitaka kujinyonga anaokolewa fasta asije kufa akatuacha peke yetu wakati balaa tumelileta wotena serekali izuie watu kutoka nchini maana wanatuacha tuisime namba wenyewe
Akimkosa kwa jina la Wentworth miller amtafute kwa jina la Michael ScofieldNenda Marekani kisha fanya reverse prison break.
Yaani badala ya ku break out una break in. Ukifika huko mtafute mtu anaitwa Wentworth Miller atakusaidia kwenye ku plan.
mkuu hapa lazima wote tutesekena sasa hivi hata mtu akitaka kujinyonga anaokolewa fasta asije kufa akatuacha peke yetu wakati balaa tumelileta wote
Watakutatua marindaMeeli tena si watani.
Mkuu jela za kwa trump ni hatari kuna mijitu kama akina rambo na komando joni 100Wee polepole na hiyo adabu yako