Nifanyeje nifungwe marekani kifungo cha miaka 4 i mean hadi 2020?

lakini mkuu fanya usitutoroke tuisome namba wote
 
Wafungwa wengi jela za USA wanatatuliwa marinda kinguvu

Kuna makundi mengi ya kihuni



Tafuta documentaries na simulizi mitandaoni uone hutotamani ukae hata siku moja kwenye jela zao ,


Nakutakia kila la kheri
 
Ndo anachotaka mtoa mada ndo maana kawa specific anataka USA
 
usithubutu upelekwe Guantanamo bay kule utanyooka haki ya Mungu
 
usithubutu upelekwe Guantanamo bay kule utanyooka haki ya Mungu
Kule mbona shida zao ni sawa na naisha ya wanaoisoma no tu?
Mi siwezi pelekwa huko kwsbbu nataka kusa la miaka 4 tuuuuu
 
Nenda Marekani kisha fanya reverse prison break.

Yaani badala ya ku break out una break in. Ukifika huko mtafute mtu anaitwa Wentworth Miller atakusaidia kwenye ku plan.
Akimkosa kwa jina la Wentworth miller amtafute kwa jina la Michael Scofield
 
Mkuu jela za kwa trump ni hatari kuna mijitu kama akina rambo na komando joni 100
Hivi wee unanijua mimi!!!
Aah acha mkuu mi ni miraba mitano
Babu kubwa sema sina tu hela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…