Kuna sheria inaitwa law of limitations, mara baada tuu ya hukumu kutolewa, ulitakiwa kuonyesha nia ya kukata rufaa na kabla muda wa kukata rufaa haujakwisha ndipo ulipaswa kuomba leave of the court for extension ya time ya ku log hiyo appeal na kutoa hizo sababu.
Kama tangu mwanzo, hukuonyesha nia yoyote kukata rufaa mpaka muda umepita, imekula kwako, unless kwenye maombi yako ya nakala ya hukumu tangu mwanzo, ulieleza kwa maandishi lengo hilo la kuomba nakala ya hukumu ili ukate rufaa, tarehe labda zitakusaidia kuithibitisha hiyo nia, ila kesi yoyote inapokia uamuzi wa kukata rufaa, ni lazima utumie mwanasheria, he/she should have known better!.
Pole.
Pasco.