Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda kwa mwanasheria akuombee "leave of the court" ambayo itaonyesha sababu za kutokata rufaa mapema. Mahakama ikiridhia sababu zako utaruhusiwa.Mimi kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu nilichelewa kupokea nakala ya hukumu ya kesi yangu. Zimenifikia muda wa rufaa ukiwa umepita. Je naweza kufanya taratibu zipi ili kumudu kukata rufaa?
Kuna sheria inaitwa law of limitations, mara baada tuu ya hukumu kutolewa, ulitakiwa kuonyesha nia ya kukata rufaa na kabla muda wa kukata rufaa haujakwisha ndipo ulipaswa kuomba leave of the court for extension ya time ya ku log hiyo appeal na kutoa hizo sababu.
Kama tangu mwanzo, hukuonyesha nia yoyote kukata rufaa mpaka muda umepita, imekula kwako, unless kwenye maombi yako ya nakala ya hukumu tangu mwanzo, ulieleza kwa maandishi lengo hilo la kuomba nakala ya hukumu ili ukate rufaa, tarehe labda zitakusaidia kuithibitisha hiyo nia, ila kesi yoyote inapokia uamuzi wa kukata rufaa, ni lazima utumie mwanasheria, he/she should have known better!.
Pole.
Pasco.
Naomba kuuliza,hivi nakala ya hukumu unaifuata mahakamani au mtu anaweza kukuletea popote ulipo?
Loh! Nimejifunza kitu hapa....Asante Pasco. Na kama hukujua hukumu ni lini na siku unaletewa nakala ya hukumu ikawa tayari muda umepita hiyo nayo ikoje?