Wonder Woman
Senior Member
- Mar 4, 2012
- 110
- 33
mkuu hapo pekundu nimecheka sana! dah tehe tehe tehe! kwi kwi kwi kkwi!
Hahahahaha! heheheheh! Khaaa!Babu Shikamoo.
inatisha kwa kweli lohhh kesho atarudi hapa aseme "I think my ass is big"
Hahahahaha! heheheheh! Khaaa!
haya marahaba kajukuu kangu.
You have just made my day lol
babu usicheke sana. wape darasa wajukuu wako wa kiume. "Kabla hawajaomba mchango wa mokasi"
pole sana kwa balehe inayokusumbua,naamini ukishavunja ungo utaacha kuandika v2 kama hivi hapa jf.
Hio kitu inanisumbua sana facebook mbk nime deactivate my account yani ni full shida
pole sana kwa balehe inayokusumbua,naamini ukishavunja ungo utaacha kuandika v2 kama hivi hapa jf.
kuwa handsome kweli shida.napata shida sana na hata wakati mwingine siaminiki tena.Jamani nisaidieni niwaelezeje hawa wadada kuwa mie sitaki labda urafiki wakawaida tuuu.Natamani hata nijipake majivu ili kuificha sura yangu.I sometimes find some of them forcing to take my photo.
Jamani naombeni ushauri wenu
Vipi wanaokushobokea ni wadada peke yao au hata na wakaka?