Nifanyeje nipunguze kupedwa?

Nifanyeje nipunguze kupedwa?

Behave ua self pliiz,, this isn't facebuk,, my ushauri naomba umigrate into fecbuk upost ua nonsense na ucsahau ku-upload ua face for more comments!!!
 
kuwa handsome kweli shida.napata shida sana na hata wakati mwingine siaminiki tena.Jamani nisaidieni niwaelezeje hawa wadada kuwa mie sitaki labda urafiki wakawaida tuuu.Natamani hata nijipake majivu ili kuificha sura yangu.I sometimes find some of them forcing to take my photo.
Jamani naombeni ushauri wenu

madume vp ayakufuatifuati?
 
We shoga sasa,watakupenda na madume shauri zako.
 
hebu weka sura yako na sie 2ithaminishe, uckute mambo ya Ongala
 
Back
Top Bottom