Nifanyeje nirudishe urijali wangu?

Nifanyeje nirudishe urijali wangu?

Hata mimi pamenichanganya sana...

Hata hapo aliposema nimechoka na usenge..

JF kuna vimbwenga
tatizo la wanaume wa jf ndo hili.mtu ameomba zake ushauri kwanini uone ni kibweka mkuu. akirudia hilo kosa huoni hata Mungu atakuhukumu wewe.ameamua kubadilika msaidie abadilike.hujafa hujaumbika kesho unaweza utokewe na wewe na hii shida kwako au kwa jamaa yako
 
Sema history ya shida yako usaidiwe

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Dawa za nguvu za kiume ..dawa za kubana uke ..kuondoa harufu mbaya uken na maji mengi ukeni....kukuza na kurefusha na kunenepesha uume ..uti sugu ..maradhi ya ini..mapenz .zindiko uchawi..wasiliana na dr kanyat wa tanga 0744903557

Post sent using JamiiForums mobile app

Mbona nasikiaga hizo dawa ni usanii mtupu?
 
Kama umepata ujasiri wa kuanika hapa bhasi bila shaka ujasiri wa kuacha mazima na kujitibia ukapona unao
 
Uamuzi mzuri sana huo uliochukua wa kuacha "upunga".
Cha kufanya katika mlo wako tumia sana hv vitu pilipili,tangawizi,maji mengi,matikiti maji,karanga mbichi,ugali wa dona,maharage kwa wingi,nyama nyeupe hasa samaki au kuku wa kiswahili,ugali dona,kahawa na mchuzi wa pweza utajua mwenyewe unajipangilia vp ila hivyo vitu usivikose.
Pia Fanya mazoezi na usikumbuke uliyokuwa unafanya huko nyuma cha msingi mfuate Mungu soma mafundisho yake utakuwa mwanaume kamili.
Kumbuka usifanye chochote cha kike kike kuwa kidume sasa.
 
Hapo ni kama umeanza kutumikia sehemu ya dhambi zako ndugu, ulichopanda ndicho utakachovuna.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
unalalwa utakuaje rijali asee

Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Haa haaa aiseeee leo
Jf inafanya niwe kichaaa

Mkiambiwa punguzen kula
Chips hamtak haya sasa
Matokeo ndyo hayo

Wale mnao uzaa vumbi la
Kongo piten hapa,kuna,mteja

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
nenda hospital kapigwe bomba usafishwe kwanza otherwise nasikia mnarudiaga uko watakupa na plan B zakitaalam utakuwa poa izo Viagra na mavumbi ni temporary na zinaimpact siku utaumbuka
 
o
Hata mimi pamenichanganya sana...

Hata hapo aliposema nimechoka na usenge..

JF kuna vimbwenga
Duuh! ungekua wewe ni mwanafunzi wangu halafu mimi ni mwalimu wako,ungenikoma,kwani ningekulamba mangumi na mateke hadi ukome,nanina uhakika wewe na labda huyo mmoja tu ndiyo hamjaelewa.

Mnajiaibisha sana kuonesha uwezo wenu wakuelewa maelezo wewe na huyo mwenzako mlioandika kua hamuelewi kirahisi kama members wengine humu.
Hata mimi pamenichanganya sana...

Hata hapo aliposema nimechoka na usenge..

JF kuna vimbwenga
Duuh! ungekua wewe ni mwanafunzi wangu halafu mimi ni mwalimu wako,ungenikoma,kwani ningekulamba mangumi na mateke hadi ukome,nanina uhakika wewe na labda mmoja tu ndiyo hamjaelewa.

Mnajiaibisha sana kuonesha uwezo wenu wakuelewa maelezo wewe na huyo mwenzako mlioandika kua hamuelewi kirahisi kama members wengine humu.
 
nenda hospital kapigwe bomba usafishwe kwanza otherwise nasikia mnarudiaga uko watakupa na plan B zakitaalam utakuwa poa izo Viagra na mavumbi ni temporary na zinaimpact siku utaumbuka
Ni hospitali gani mwanangu nikapigwe bomba

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 
Kwa Maelezo Yako Inaonyesha Kumbe Ulikuwa Shoga Unagawa Bigijii Hiyo Sasa We Nenda Wakakupige Bomba Afu Uache Kabisa Mambo Ya Kisenge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom