nifanyeje?nisaidien

Sweetlol

Senior Member
Joined
May 9, 2011
Posts
102
Reaction score
24
Nina mdogo wangu anaenifuata,alikuja kutambulisha mchumba mwezi wa pili wakatoa mahar na ndoa imetangazwa itakua june keshokutwa.Mdogo wangu ameniambia juz anamimba ya miez sita na jun itakua miez saba.shida inakuja yeye anasoma mwaka wa kwanza chuo,baada ya wazazi kuambia kwamba anataka kuolewa walipanic sana mpaka baba wadogo na wajomba waliingilia kati.mpaka sasa nimemueleza mama mpaka leo ameshindwa kula anasema atamwambiaje baba coz baba yangu anamaamuz ya ajabu.tumefanikiwa kuvunja sendoff tukisingizia kwamba atakua ana mitihan na test.JE tunyamaze tusimwambie baba ajionee kwenye arusi?na tukimwambia mapema anaweza asiende kwemye harusi hivyo bado italeta picha mbaya kwrnye hiyo ndoa.jaman naomben mnisaidie mawazo
 
huyo 'baba yenu'
needs to grow up......
 
a grow vipi tena,?inamaana aone poa tu!kwahiyo umeshaur nn sasa hapo tumwambie au tutemane nae
 
Du mbona sa hz ndoa za wadada wenye mimba ni kibao jamani huyo tayari ni m2 mzima kabisa na tena na mchumba keshakuja anamind nini?angekuwa haoni mchumba ni yeye alee mjukuu si ndio angepata wazimu,mwambieni 2 hawezi chukia milele au fanyeni hv tafuta shangazi zenu au wazee marafiki zake wazungumze nae,ukienda wewe na mama 2 atawatafuna,
 
funganisheni harusi halafu baba aambiwe siku ya ndoa aje ili kuondoa maswali mengi bora kaolewa kuliko atelekezwe..
 
baba aende asiende ndoa ni wawili, mnawezq msimwambie akashuhudia mwenyewe...( kama hatofanya vituko ukumbini) la mwambieni aamue mapema.....
 
Kwani baba yenu hana m2 ambaye akimwambia ki2 hua anamsikiliza?kama yupo mzee muelewa muelezeni then yeye ndo atamueleza,it might help
 
asante kwa ushauri
 
Kosa la kwanza ni kufanya maamuzi ambayo yalitakiwa kufanywa na wazazi, inaelekea wazazi walikuwa wanapewa taarifa tu. Mi nafikiri ni vema baba akaambiwa hali halisi kuliko kuja kujua baadaye, tafuta wazee wenye busara ambao wanaweza kumshawishi baba, kwa kuwa hujaeleza kwa nini ndugu walipanic waliposikia mtoto anaolewa, hao wanaokwenda kumshawishi mzee lazima wajibu/waondoe hofu/dukuduku walililo nayo.

Kumbuka iwapo mtaamua kufanya siri na iwapo baba atagundua na akakasirika ndoa ya huyo mdogo wako haitakuwa na amani/furaha, wazazi ni kila kitu hapa duniani hawatakiwa kupuuzwa hata km ni mafukara/mbumbumbu nk.
 
duh...hii kali...sasa mimbaya miezi kazaana ndoa mlishatanga...hamna lakufanya bali kukubali hali na ndoa kufungwa tuu
 
Ukweli utajulikana tu hata mkimficha, kwani eventually mdogo wako atajifungua in two to three months time baada ya ndoa.
 
Huyo dingi wenu ana umri gani?
 
IT is too late now, mi naona mwambieni Mzee, maana yake mie haya mambo ninayajua, mtataka heshima now kwa Baba kuja harusi, lakini ikiisha Mama yenu ndo atakula lawama kwamba anaficha ujinga wa watoto wake, kwa nini mmemwambia Mama? that tells me kwamba atakula lawama yeye.

Mwambieni mshua na hawzi fanya kitu, atachukia then atatulia, ndio utaratibu huo, hata asipohudhuria kwani nini? mkipata baraka za Mama zitatosha, na yeye atakuja kuelewa tu baadaye.

NI UJINGA ULIOPITILIZA KUTOKUMWAMBIA MSHUA .......
 
sahv ana mimba ya miezi 6 then june atakuwa na miezi 7...!?sijaelewe hapa hesabu inakuaje
 
weka mahesabu ya miezi vzr tujadili, ILA MIE NAONA NI BORA BABA YENU AAMBIWE MAPEMA COZ HATA MKINYAMAZA, MIMBA INAKUA KUELEKEA NJE NA BABA YENU ATAIONA TU, HAPO NDO ITAKUA KASHESHE, KUBALINI YAISHE ILI TATIZO LITATULIWE MAPEMA. PIA MDOGO WAKO NDO AAMUE MAISHA YAKE, SIYO BABA ZENU WADOGO WALA NANI, MKIINGILIA MAAMUZI YAKE, MAISHA YAKE MNAYAHARIBU NA ATAWALAANI MPAKA PUMZI YAKE YA MWISHO. Mtanikumbuka.
 
Fanyeni kikao na wana ndugu wengine kwa ajili ya maandalizi ya sherehe ya huyo binti kwenye kikao hicho mdingi lazima atakuwepo na itakuwa ni muda muafaka wa kumwambiia inshu nzima kwa sababu msipo mwambia sasa akaja kujua baadae itakuwa ugomvi mkubwa kwamba binti alim dharau baba yake hakumwambia. So hata kuhailisha hiyo send off mmekosea kwa sababu bado mnaongeza mda mbele na harusi ipo upande wa kiume yawezekana wenyewe maandalizi yao yapo pale pale hawajabadilisha. Wekeni kikao mapema mzee ajue kuhusu hiyo kitu. Na mama pia anawajibu wa kumwambia mzee kwa kumwambia kuwa anahisi binti yake ni mjamzito itakuwa njema zaidi kwa mdingi. Pliz muda unakwenda fanyeni maamuzi ya halaka.
 
Nin kaz ya mama..ambembeleze chumbani kitaeleweka tu!
Wish u lucky..bytheway mdingi katokea pande za kaskaz nin,mkolon anaonekana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…